Search results

  1. uzewela

    Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  2. uzewela

    Kusoma CPA

    Habari wakuu!! Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani. Sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA, naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na...
  3. uzewela

    Vyeti vyangu vina majina mawili, NIDA ina majina matatu

    Habari za mida hii wakubwa, naamini kupitia jukwaa hili tunaweza kumsaidia jamaa yangu.inshu iko hivi, alijiunga ajiral portal jina la kati ni la kwenye kitambulisho cha nida ila jina la kati kwenye vyeti ni tofauti na la kwenye nida. Ameitwa kwenye interview ya TPA jumamosi ya wiki hii...
  4. uzewela

    Spacio

    Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner Rangi ikiwa silver itapewa kipau mbele Namba DQ itakuwa vzr zaidi.njoo na offer yako kama reasonable tunafanya biashara.kama unalo...
  5. uzewela

    Msaada wa ku-unlock iPhone

    Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye kujua namna ya ku unlock iPhone 8 ni ya marehemu brother angu. Hakuna anaejua password zaidi yake. RIP
  6. uzewela

    Azam wapandisha Bei ya ving'amuzi

    Azama wamepandisha bei ya ving'amuzi vyao tofauti na wanavyojipambanua kwenye matangazo yao. Nimetumiwa sms hii Ndugu mteja, kuanzia tar 1 Disemba bei za vifurushi ni 8000, 13000, 20000 & 28000 kwa mwezi na 2500, 4000 na 9000 kwa wiki. Chaneli za Azam Sports zitapatikana kuanzia 20000 au 9000...
Back
Top Bottom