Search results

  1. Mwana hapa hapa

    Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    Mpaka kila mmoja aseme maji mmma
  2. Mwana hapa hapa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Uchochoro wetu tukikutana finalls, kama mtu unalead 3-1 tunakuja kukugonga game 4 zote zilizobakia wewe ni uchochoro plus tumerudia mechi ya mwisho juzi na tumewagonga pia, what else niseme kuhusu GSW kwa CAVs?
  3. Mwana hapa hapa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Ishu sio Cavs kufungwa, kumbuka kuna mechi lazima u sacrifice Kwa sisi CAVS tunaangalia big matches, tayari GSW kwetu kashakua kichochoro ndio cha msingi kwa sababu tunauhakika tunakutana nae tena kwenye finalls PISTON waache nao wapate ushindi but mwishoni statistics zipo wazi, Inabidi GSW...
  4. Mwana hapa hapa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Play offs its all about experience na kama jana ulivyoona GSW walifungwa kwa experience; irvin kashakua mkubwa saana katika clutching points, anafanya in a row showing off kwamba in the finals hakubaatisha
  5. Mwana hapa hapa

    Customer care ya Tigo upande wa Tigopesa hamjui majukumu yenu

    Kwenye mfumo wa banki nivigumu siku hizi kurudisha kiolela tuu kwa kua majambazi na matapeli wengi washajua hio ndio njia rahisi kumtapeli mtu 1. Wahudumu wanabidi wahakiki kwamba upande wapili kuna hela au la! Siku hizi watu wengi wameshakua matapeli, wakiwekewa hela tuu wanatoa au kuziamisha...
  6. Mwana hapa hapa

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Sera kwani ameanza kampeni?
  7. Mwana hapa hapa

    NokiaLumia ipi kati ya hizi inasuport USSD?

    Nokia lumia zote zenye window 8;
  8. Mwana hapa hapa

    Sasa nimeelewa hoja/shida ya wana-UKAWA

    Itaondoka tuu; wewe unadhani nani ataweza kama sio LOWASA Huyo ndio mwiba kwenu ndio maana mnamtaha taja saaana Hamna makapi au matapishi hapa Sie tunawaachia matapishi ya kadi zenu za kuchanwa tuuu Vijijini washaamua sijui mtaibaje
  9. Mwana hapa hapa

    hivi Lowasa alipata kiasi gani cha kura Monduli

    Jembe wapi; unataka awe mwenyekiti wakati hakuwai kuwa hata monitor darasani Ndani ya chama ndio kabisaaaaa
  10. Mwana hapa hapa

    4g line zipo tayari

    Line za 4G zimeanza kupatikana Tigo na wameanza kuongeza maeneo ya upatikanaji wa 4G: Je wangapi wapo tayari kutumia lini hizi?
  11. Mwana hapa hapa

    Tuwe wakweli: Tusimnange Wema Sepetu; wengine wanagombea, kwanini asigombee?

    Hamna kitu hapa, yaani Tanzania ishakufa sasa, uongozi no wito na sio umaarufu, Tunapoelekea ni kubaya sana na hapa tulipo sio pazuri hata kidogo. Enzi za mwalimu upuuzi huu uwezi kuuona, haya yote ni kwa sababu watu hatupo serious at all.
  12. Mwana hapa hapa

    Maamuzi magumu tu

    Nani anamtaka lowassa wewe! Usitupumbaze wote, tunachojua ni kwamba wewe unamtaka lowassa na sio sisi wore
  13. Mwana hapa hapa

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Entrace ni 900,000/=, lakini unachokipata mwezi wa kwanza sio na ulivyo invest, then unabidi ustruggle kuunganisha na kuuza bidhaa zao, sasa huo si upuuzi Actually hio biashara ni kama wale wauza mabeseni, the more you sale the more you get And lastly, wanafaidika wachache waliokua juu ya tree...
  14. Mwana hapa hapa

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Inshu sio video tuu, jamaa wanakodi hadi ukumbi kwa ajili ya kuelimisha watu na kuwaubudisha dini ya forever, kwangu mimi naona ni kama Dino tuu, kwa sababu ukisikia walivyo mezeshwa, wote no Yale yale
  15. Mwana hapa hapa

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Wangapi wameenda hizo vacation? Je unajua wamejiunga wangapi katika hio forever? Kwa kuwaona na kuona vacation zao wanachagua MTU mmoja, je kwa dar yetu tuu wapo kibao, maskini wengine wameingia kujaribu bila kujua kua walaji wachache! Connection plus watu walio active! Swali la muhimu! Uliona...
  16. Mwana hapa hapa

    Lowassa awasafisha Chenge na Karamagi; asahau miaka ya uhuru

    Kiukweli watu Wengi watamchagua kwa umaarufu tuu ila jamaa na chama chake ndio mbovu kabisaa, ilani ya chama no mbovu na walio wengi hawana kujitoa kwa wananchi, wao wapo kimaslai yao tuu
  17. Mwana hapa hapa

    BBC Dira ya Dunia: Mh. Mizengo Pinda akiri kugombea Urais kimya kimya

    Nchi ishamshinda huyu, haiwezekani binge linaendelea yeye amekimbilia mitini, sasa nani anawakilisha serikali pale bungeni?
  18. Mwana hapa hapa

    Tigo 4G

    Tayari 4G ilikua launched, tarehe 1 zinaanza kuuzwa line hizo, check uwezo was simu yako www.tigo.co.tz/4G katika 4G Inshu ya kusua 3G ni minara tuu lakini haimaanishi ndio wasiweke naya 4G, kuna watu wanaenjoy 3G kila siku kwa nini tusiwaongezee experience nyingine Jaribu Leo na sio kulaumu tuu.
Back
Top Bottom