Search results

  1. Rcrusso Jr

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Hapa target ni pesa.... Hawa jamaa sijui wanatuonaje wananchi aseee... Badala wapambane mawasiliano yawe rahisi na hata huduma za internet zishuke bei wao wanabana wanasahau dunia sahivi mi internet... Wanambania elon musk
  2. Rcrusso Jr

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Napenda kaka unachangia nyuzi nyingi mno
  3. Rcrusso Jr

    Ripoti: Kuna tatizo la kukatika kwa mawasiliano ya Intaneti kwenye baadhi ya Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania

    Airtel nina wiki sasa naweka bundle silitumii ni zaidi ta kuwa slow... Mpaka lina expire
  4. Rcrusso Jr

    Hoteli za bei rahisi Kariakoo au Mnazi Mmoja

    Wapi huko 10,000 massage na happy ending..
  5. Rcrusso Jr

    Hoteli za bei rahisi Kariakoo au Mnazi Mmoja

    Ya mwenge hiyo??? Bei gani hapo
  6. Rcrusso Jr

    DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nina karatasi yenye account ya sasa hivi inasoma manispaa..
  7. Rcrusso Jr

    DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nimeenda nimepewa account number ya manispaa kulipia ... Ila karatasi yao ina upande wa control number .. je naibiwa kuweka kwa account au?? Je baada ya kumaliza kulipa kiasi nilichopewa nilipe nini kitafuata nimewauliza wamenambia nimalize kulipa maelekezo mengine nitapewa nikimaliza kulipa...
  8. Rcrusso Jr

    Majibu ya Halmashauri ya Kibaha kuhusu tuhuma za Rushwa katika urasimishaji viwanja

    Nimeenda nimepewa account number ya manispaa kulipia ... Ila karatasi yao ina upande wa control number .. je naibiwa kuweka kwa account au?? Je baada ya kumaliza kulipa kiasi nilichopewa nilipe nini kitafuata nimewauliza wamenambia nimalize kulipa maelekezo mengine nitapewa nikimaliza kulipa.
  9. Rcrusso Jr

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Kama umemaliza sindano haijavuka siku 7 tulia zipite .. utaona mabadiliko
  10. Rcrusso Jr

    Video: Bodaboda asababisha Ajali

    Jana tu asee maeneo ya jirani na mataa ya tanki bovu, kuna jamaa alitaka kunisababiahia ajali Haki Ya Mungu... Ni vile Mungu alikuwa upande wangu nikatoka nikamuachia njia nilicontrol piki piki na kuvua gear mpaka nikasimama nikiwa nje ya barabara... Jamaa alivyoona vile akakimbia pia na...
  11. Rcrusso Jr

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Hapo shida kubwa ni kutaka asilimia wao kila jambo wanauliza vipi tunakulaje hapo na sisi?? Yetu ngapi? Hapa flani bado hajala.... Si.kweli kuwa wanatukumbuka na kutuwaza hawa watu.. Bora atokee dictator mmojawemye uchungu na nchi na raia..hata kama takuwa anakula pia si mbaya.. eg the late...
  12. Rcrusso Jr

    Wapi tunaelekea kimaisha

    Habari ndugu mwanajamvi wa JF,..matumaini tu wazima na tunaendelea kuhangaika katika kutafuta mkate wetu wa kila siku (japo tuliomba atupe ila kumbe sio kupewa ni kuutafuta kwa nguvu nyingi jasho na hata damu) Back to the topic, (Tatizo ni wananchi au wenye nchi???) Na je ni nani mwenye nchi...
  13. Rcrusso Jr

    Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

    Kuna watu pia wanajiita @sautifrom east asee ni wanaimba mno wachekimi you tube ila bongo hatuwasikii
  14. Rcrusso Jr

    Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

    Nakuomba wana adhabu pekee ..nataka kwa mara ya kwanza nimuunge mkono papa.. hivyo nifate pm plz
  15. Rcrusso Jr

    Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Kinachofurahisha na wengi hawajui... Ni kosa miaka mitano hii hapa, wanaendelea kula mishahara na posho kama kawaida.. hiyo inavutwa vutwa mpka 2025 kesi imeisha wanarudi upya kupambana au kuhama chama kabisa.. lengo mkono ufike kinywani
  16. Rcrusso Jr

    Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    Naomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau...
  17. Rcrusso Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tukapasuka vizuri kabisa bila tabu... Japo young africa . . Ilikuwa ishinde
  18. Rcrusso Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    MKEKA WA MAOKOTO! ISHI NAO LEO MEDEAMA-YANGA.. AL AHLY-BELOUIZDAD.. GETAFE-VALENCIA.. JUVENTUS-NAPOLI... AL NASSR-AL RIYADH.. Wandugu mmoja anaejua mpira atengeneze basi.
  19. Rcrusso Jr

    DOKEZO Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi

    Mkuu kidimu IPI hiyo? Mana nimeuziwa eneo hapo mazengo /Lumumba nimeambiwa itabidinilipie 1500/square meter badae serikalini... Aloniuzia hakunambia hii habari nilifichwa nimeambiwa badae.. msada nijue zaidi
Back
Top Bottom