IRENE HAIR BEUTY SALON
NAFASI YA KAZI
location:kigamboni,ferry
[emoji419]Anahitajika dada au kaka anayejua kusuka vizuri mitindo yote [emoji139]♀️
[emoji419]awe anajituma mchapakazi na kuwahi kazini saa 2
[emoji419]mshahara ni 150,000 kwa mwezi
[emoji419]Mawasiliano;0789041461
KARIBUNI...
Jamani mimi naitwa Irene nina shida,
Natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze...
Me ni yule niliyeuliza kuhusu kuwa na mimba ni kweli nilipima na nikakuta ni mjamzito wa mwezi mmoja ila shida me nipo mbali na wazazi na kwa sasa nipo chuo.
Yaani mpka mwakani mwezi wa sita ndo namaliza na hapo chuon huwa tunavaa uniform nashindwa hata kuelewa nifanye nini lakini kuhusu baba...
Msaada, maana hata sielewi maana matiti yangu yameongezeka na yanauma pia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi sana, ila nilisex siku ya hatari lakini kabla ya masaa 72 nilimeza p2 ila nilijisahau nikameza moja badala ya mbili.
Sasa nilisex tareh 4 mwezi huu ambayo ilikua ni siku ya hatari sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.