Search results

  1. Fohadi

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii. Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo goli la ugenini limefutwa kwenye mashindano ya Ulaya na technolojia ya VAR inatumika. Nimeangalia...
  2. Fohadi

    Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
  3. Fohadi

    My favourite Radio and TV channels

    Ukitaka nisikilize Radio siku nzima. Niwekee CLOUDS FM halafu ficha remote. Wala sitahangaika kukupigia simu. Hii redio imesimama sana na vipindi vyake vina mpangilio na mtiririko usiochosha. Ukitaka nitazame TV kwa local channels siku nzima. Niwekee EATV halafu ficha kabisa remote. Sitakuwa...
  4. Fohadi

    Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  5. Fohadi

    Voda mnaboa, mnakera na mnachefua

    Hii ni kama mara ya tatu inanitokea. Mara ya kwanza nilihisi labda nimekosea. Nikasema basi bahati mbaya nimekosea. Yapili tena nikashituka nikasema hapa nimepigwa. Hii ya tatu sasa nimeamini wanachofanya hawa jamaa ni utapeli kama utapeli mwingine. Iko hivi, Kabla sijajiunga na kifurushi huwa...
  6. Fohadi

    Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  7. Fohadi

    SoC01 Muhimu Serikali kuunda Tume za kuzuia maafa ili ziwe mbadala wa tume za kuchunguza vyanzo vya maafa ambazo huundwa baada ya maafa kutokea

    Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
  8. Fohadi

    Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  9. Fohadi

    Nilibahatika sikupitia njia hii ila najua ni njia inayowaumiza sana watoto kisaikolojia na kuwaacha na chuki kwa wazazi

    Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na mzazi mmoja au amemtelekeza, basi asilimia 99% ya mzazi aliyetelekezwa anakuwa ni Baba. Moja kwa...
  10. Fohadi

    Usajili timu za bongo ni pata potea. Hakuna mfumo maalumu unaotumika

    Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle. Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka...
  11. Fohadi

    Kuna kubwa la kujifunza kupitia huyu rafiki yangu...

    Miaka 4 iliyopita nilikutana na huyu jamaa. Ilikuwa ndani ya basi la kutoka kwetu huko nyanda za juu kusini magharibi ambako kwa wakati ule nilienda kumzika babu yangu mzaa mama (Rest in peace Grandpa). Tulipofika Morogoro, abiria wengine walishuka na kupanda wapya ili tuimalize safari ya...
  12. Fohadi

    Hivi kwanini Ubunge usiwe na kikomo ili kupisha mawazo mapya?

    Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha. Inasikitisha kuona kuna...
  13. Fohadi

    Usiamini Mtu: Heri lawama kuliko hasara. Karibu ujifunze kupitia visa hivi

    MKASA WA KWANZA: Unanihusu mimi mwenyewe Naanza na rafiki yangu: Juzi jumamosi nimeamka salama, baada ya kufanya mambo yangu nikaona ngoja nimtembelee jamaa mmoja hivi ni rafiki yangu sana. Nimekutana nae na katika kupiga stori mbili tatu akaanza kulalamika kuwa 'ametapeliwa' sh. 450,000 na mtu...
  14. Fohadi

    Kwa wauza simu Dar: Nataka Redmi note 10 mpya, nije na shingapi dukani kwako ili niichukue?

    Nimeamua kumsapoti mfanya biashara mmoja aliyemo humu JF..Wenyewe wanasema charity begins at home Naomba kufahamishwa na ikiwezekana weka na location. Nikihitaji mawasiliano nitakufata PM..Karibuni.
  15. Fohadi

    Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

    Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika. Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
  16. Fohadi

    BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

    Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
  17. Fohadi

    Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Kuna watu wana amini maisha ya Dar ni magumu (kufanikiwa ni ngumu) wengine wanasema maisha mikoani ni rahisi (kufanikiwa ni rahisi)... Je, ugumu wa Dar uko wapi na urahisi wa mikoani uko wapi? (Huu ni mtazamo wa wengi humu kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya humu ndani kwa muda kidogo)...
  18. Fohadi

    Jinsi jirani alivyoniweka njia panda. Ungefanyaje?

    Utangulizi: Huyu dada ni mke wa mtu na ni jirani yangu pale nyumbani ninapoishi. Ni zaidi ya miezi 9 sasa toka nimehamia mtaa ule, ila kwa kipindi chote hiki sijawahi kuwa na mazoea na huyu mwanamke. Huwa ni mwendo wa salamu tu halafu kila mtu anachukua 50 zake. Sina uhakika kama ananijua jina...
  19. Fohadi

    Msaada: Matatizo ya masikio

    Habari zenu wakuu, Kiufupi sina historia ya kuwa na matatizo ya masikio na wala sio mtumiaji/ mpenzi wa earphones. Mabadiliko katika masikio yangu nimeanza kuyaona ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita. Hii hali imekuwa inakuja na kupotea ila kwa hizi weeks 2 imekaa muda mrefu. Iko hivi...
  20. Fohadi

    Msaada: Nahitaji kuifahamu Bugando Secondary School iliyopo Geita

    Habarini wakuu, Naomba kuifahamu kiundani hii shule. Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi? Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi? Historia ya shule, imeanzishwa lini na perfomance-wise ikoje? Asanteni.
Back
Top Bottom