Search results

  1. matron

    DAWASCO/TANROAD na Kimara Bunyokwa jipu hili hadi lini?

    Ni miaka na miaka inazidi kukatika tangu rais mstaafu Jakaya Kikwete (JK) aje kwenye kitongoji changu na kutuahidi kutuletea maji na kutuwekea lami kwenye barabara yetu ambayo haifiki hata km 5. Sasa najiuliza hawa watendaji husika DAWASCO na TANRODS ni kweli katika bajet zenu kweli...
  2. matron

    Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

    Wengi wanadai kuwa waganga wanaweza kutambika sehemu ya biashara yako na kuifanya upate wateja mimi siko simo huko......nakuja kwa upande wako je hiyo sehemu unayotaka kuzama kibiashara umeshajiuliza ni wachawi wangapi wametoka hapo?hapa namaanisha wafanyabiashara waliowahi kuleta waganga...
  3. matron

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Safi sana raisi JPM kwa mabadiliko hayo..kilichonigusa zaidi ni kule NSSF paliharibika mnoo,ubaguzi ulikua wa waziwazi kiasi cha kushindwa kuelewa chanzo ni nini hasa lakini kweli hakuna marefu yasiyo na ncha,naamini wale waliokuwa wanabebwa kwa swala la udini saa hizi wanalia! poleni ila...
  4. matron

    Mambo 10 yakujua kabla ya kuingia kwenye huu mfumo wa biashara unaolipa kuliko mifumo yote

    Nimekusoma mkuu,mimi nataka kujua wewe unauza product gani?kwani haiwezekani mimi kununua kwa matumizi binafsi?
  5. matron

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Binti mmoja:Ukiwa kama mama wa familia ni lazima uwe mtu wa kuomba..na kama unadumu kwenye maombi haya yatapita ,kumbuka huna mamlaka na huo mwili kwakuwa uliunganishwa siku ya ndoa. Wengi wanakushauri umnyime unyumba nk kumbuka shetani aliyemuingiz mumeo anataka kukuangusha ili...
  6. matron

    namwachia house girl nyumba nimechoka

    waowaji wenyewe siku hizi wako wapi?sema ukweli kuna mengine hili halinitoshi loly
  7. matron

    That painful feeling of Loving where you are not Loved!!!

    Vanilla are u ok my dear?is there anything happen to you?
  8. matron

    “UPOLE “ na “ KUOMBA”….dhana tata zilizo katika utamaduni wa mtanzania…..

    Mimi sijaona ukweli kabisaaa kuhusu wadada wa kTz maana kuna wakati nilikua Kenya mbona na wao walichukuliwa sana tuu na wabongo?tena wengine wameolewa kabisa. ingawa wengi wao wako rude . Hapo huyo jamaa zako wenyewe wakware niseme bilabila - Mtz ni maadil tu hayahusiki na kujirahisi kwa mtu...
  9. matron

    “UPOLE “ na “ KUOMBA”….dhana tata zilizo katika utamaduni wa mtanzania…..

    Mimi sijaona ukweli kabisaaa kuhusu wadada wa kTz maana kuna wakati nilikua Kenya mbona na wao walichukuliwa sana tuu na wabongo?tena wengine wameolewa kabisa. ingawa wengi wao wako rude .Mtz ni maadil tu hayahusiki na kujirahisi kwa mtu binafsi lol.
  10. matron

    Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Na nikikwambia niliskia watu wakinong'ona? ntakua bado nimechunguza?
  11. matron

    Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    sawa Smile nimekupata na kweli sina cha kuwafanya
  12. matron

    Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Mmmhh hayaga ya malimwengu ni mengi lol!
  13. matron

    Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Asante X Paster kwa ufafanuzi ila nnaposema wakaja kuzugazuga ni kwamba walikaa kama lisaa limoja wakainuka na kuondoka,ila mimi kwa sababu ya uhusiano nilionao kwa hiyo familia ya mfiwa ilibidi tubakie kwa siku mbili.ingawa sikuelewa nini hasa maana ya wale kuondoka wakati bado tulukua...
  14. matron

    Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Angel Msofe ni hivi kijana aliyefiwa kaingia siku ya kuzika na kulipokucha wakwezake wakaingia asubuhi na mchana wakawazoa wakaishia siku hiyo hiyo,so inamaana mfiwa kalala usiku mmoja tu basi natumai umenielewa.
  15. matron

    Ndoa na watoto wa ndugu ni mtihani

    Miaka kumi na moja aeiou?huyo bamdogo naye anaona hiyo?kama anang'ang'ana mpeleke boarding school akawehukie mbele kwa mbele tena shule ambayo inaweza vitoto vya aina hiyo.otherwise mamaye awajibike.kwanza inakuwaje mama mzee anyanyase mtoto wake mwenyewe? kama ni matumizi mpelekeeni hukohuko...
  16. matron

    Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Majuzi hapa kuna mdada nilimsimamia ndoa yake kwa bahati mbaya nikapata habari kuwa kafiwa na baba mkwe kilichonisikitisha ni kuwa yule binti na mmewe walisafiri kwenda msibani siku ya kuzika na asubuhi iliyofwata wazazi wa binti wakaja kuzugazuga hao wakasepa zao na kijana aliyefiwa na baba...
Back
Top Bottom