Kuna mtu analazimisha watu waishi maisha ya msimu ambao tayari umeshapita, inafikia hatua mpaka analazimisha kupata baraka kutoka kwa MFU! Natamani kumjua baba wa kiroho wa huyu mtu.
Ndiyo maana Madam nae karusha kitu kizito cha serikali kutolipa mara mbili kwa maana ukiwa unatumikia wananchi na unalipwa mshahara, hautalipwa kiinua mgongo cha kustaafia..!!
Juzi hapa alikuwa anashangaa samaki aina ya sangara wazazi kupungua ziwa victoria na itafanya tubakie n swimming pool wakati yeye mwenyewe wakati ni waziri wa mifugo na uvuvi alisaini sheria ya kuwavua hao samaki wazazi!!!!!! Huyu jamaa ni MNAFIKI Pro max, aende tu akajadili waganga wa kienyeji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.