Search results

  1. Escotter20

    Unaachana na tabia gani 2024?

    Heri ya krismass kwa wakristo wote Kuelekea mwaka 2024 imebaki wiki moja. Kunatabia ninaziacha mwaka huu👇 1. Kubeti 2. Futa account insta , fb na twitter 3. Kuacha kushabikia yanga 4. Kuacha kabisa ngono Na-replace na hizi tabia👇 1. Kufanya mazoezi 2. Sala 3. Kujipenda mwenyewe 4. Kusoma...
  2. Escotter20

    Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

    Habar wakuu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba...
  3. Escotter20

    Takwimu za Inonga vs Ibrahim Baka zinashtua

    ... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! 🙌 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Bamako 🇲🇱 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Monastir 🇹🇳 🇨🇩 TP Mazembe 0 - 1 Yanga 🇹🇿 🇳🇬 Rivers 0 - 2 Yanga 🇹🇿 🇹🇿 Yanga 0 - 0 Rivers 🇳🇬 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Marumo 🇿🇦 06 - Games 06 -...
  4. Escotter20

    Ibrahim Bacca apewe maua yake

    ... Mechi ambazo Ibrahim Bacca amecheza kuanzia group stage CAFCC. 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Bamako 🇲🇱 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Monastir 🇹🇳 🇹🇿 Yanga 1 - 0 Mazembe 🇨🇩 - (A) 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Rivers 🇳🇬 - (A) 🇹🇿 Yanga 0 - 0 Rivers 🇳🇬 00 - Magoli ya kufungwa. Rivers katika mechi zote (2) hawajapiga shot on...
  5. Escotter20

    ITV wahojiwe kwa utapeli

    Habari wananzengo.. Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni...
  6. Escotter20

    Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

    Shikamoni wakubwa zangu wote Nina binamu yangu kabahatika kachaguliwa kozi za bachelor of Education in electronic and electric engineering pale MUST pia KACHAGULIWA KOZI YA FORESTY Pale SUA... Nimekuja kuomba USHAURI mbele yenu kijana a confirm wap.. But yeye kama yeye yuko open minded...
  7. Escotter20

    USHAURI: Nahisi nimerogwa

    nice
  8. Escotter20

    Mayele ndiye aliyewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita

    📩 Mayele ndiye alitewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita kwa kufunga magoli (14) kwenye ligi, alizidiwa goli moja tu na Jean Baleke wa Tp Mazembe (15). 01. ⚽ v DTB football club. 02. ⚽ + 🎯 v Friends Rangers. 03. ⚽ v Pan African football club. 04. ⚽ v DTB football club. 05. ⚽ v...
  9. Escotter20

    Mwenye connection ya Vyuo vya Udaktari naomba anisaidie

    Shikamoni wakubwa zangu, Mini mdogo wenu baada ya kukosa chuo kozi ya udaktari katika mwaka wa masomo wa 2020/2021, bado sijakata tamaa ya ndoto yangu ya kuhudumia taifa kama daktari. Ombi langu kwenu ni kuomba connection mapema kutoka kwenu. Sababu kuna wenzangu walitumia njia ya connection...
  10. Escotter20

    Naomba ushauri nichague kozi ipi kati ya hivi maana nimevurugwa

    Wakabwa poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi? Mimi ndoto zangu zlikua...
  11. Escotter20

    Msaada katika hili wakubwa

    shakamooni wakubwa zangu, poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu kutokana na wenge la matokeo ya mtihani wa taifa f6 2020 nilipata kuomba moja ya chuo cha diploma hapa nchini, kwa bahati nzuri nimepata kuchaguliwa lakini matokeo yangu ya advance yananiruhusu kwenda chuo kikuu na tayari nimesha...
  12. Escotter20

    Kwa ufaulu huu naweza soma Medical Doctor (MD)?

    Shikamoni wakubwa, polen na majukumu, Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS. Wakubwa zangu naulza kwa ufaulu huu je naweza kupata kozi ya udaktar yan MD.AU ni kozi gani itanifaa mdogo wenu...
Back
Top Bottom