Search results

  1. Digital base

    Nauza vyombo vya ndani nahama mkoa

    Hello habari ya leo wadau , Mimi naishi Dar Es Salaam Kimara Temboni na sasa nahama kikazi kwenda mkoa mwingine Nauza vyombo vyote vya ndani ambapo katika vyombo hivyo nna TV Inch 32 kampuni ya Ailyons na king'amuzi Cha Azam cha Dish vyote Tsh.270,000 Sofa za watu wawili mbili zote...
  2. Digital base

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Hello Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke Umri wangu ni miaka 32 Rangi yangu maji ya kunde Ni mwembamba na mrefu wa wastani mwenye mwili wa kawaida Elimu yangu kidato cha nne Shughuri yangu ni Mjasiriamali ambaye pia nna taasisi yangu ya mafunzo ya kujenga biashara mtandaoni nnayo...
  3. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Thanks Boss
  4. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Chilulumo
  5. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Nashukuru kwa msaada huo
  6. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Nashukuru sana 🙏🙏
  7. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Sawa mkuu nashukuru nta fanya hivyo
  8. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Nashukuru sana kwa hilo 🙏🙏
  9. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Habari ya leo wakuu, Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa Mimi ni kijana wa miaka 30 Shughuri yangu mjasiriamali Elimu yangu kidato Cha nne Muonekano wangu...
  10. Digital base

    Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Sawa sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri huu ubarikiwe
  11. Digital base

    Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Hapa mkuu sana sana ni apps zenye uwezo wa kufanya kazi hiyo maana ndo najiandaa na hiyo program Ila kuhusu matangazo zaidi natumia Google Chrome na Fire Fox
  12. Digital base

    Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  13. Digital base

    LENOVO PC

    Kuna 400K hapa boss
Back
Top Bottom