Search results

  1. bayonamperembi

    Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Kumbe bwana. Kodi zetu ndo zinaishia huku. Waziri wa fedha ndo boss wa hii timu. Amejificha weee lakini kafichuliwa
  2. bayonamperembi

    Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Watawala watujibu haya bila kuruka kipengele hata kimoja hapo
  3. bayonamperembi

    FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

    Tushamkanda mNigeria kwao. Hapa kwa Mkapa tunakuja kumkamua kama tambara
  4. bayonamperembi

    Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Ni kweli kabisa, tena si NHIF hata bima zingine pia. Huwa hawafungi mahesabu. Nilimuuliza nesi mmoja mtaani kwa nini inakuaga hivyo alinijibu hivi "...... huko ndiko tunakoponeaga". Hivyo bas, utakuta gharama zako halisi za matibabu ni 30,000 ila hiyo fomu itachezewa iandikwe hata 130,000. Kuna...
  5. bayonamperembi

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Tunamshukuru Mwenyenzi Mungu kwa kuyajibu maombi yetu. #Mbowe si gaidi. Karibu uraiani kaka. Mapambano yaendelee. We missed you.
  6. bayonamperembi

    Polisi Dar yampa saa 24 Nabii Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano

    Kwamba Mwingira kafanya uhalifu kusema alitishiwa maisha?? Si anatakiwa aisaidie polisi wahalifu hao wakamatwe? Naona mamlaka kuna kitu wanataka kukificha hapa kwa kutumia "vibaya" dola. Hili jambo na mengine yanayohusu haki na maisha ya watu sirkali haitaki ihusishwe nayo.
  7. bayonamperembi

    Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

    Kuna mambo mengi mazito watu wamepitia na wanaendelea kupitia. Nchi isiendelee kutisha waliochoka kukaa kimya, ni wajibu wao kuchunguza na ukweli ujulikane kwa watu wote. Waliohusika wote sheria ichukue mkondo wake
  8. bayonamperembi

    TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Pumzika kwa amani askofu. Matendo yako mema yatakuwakilisha kwenye kizazi hiki na kijacho
  9. bayonamperembi

    #COVID19 Watu 29 wameshakufa kwa wimbi la 3 la Coronavirus. Wagonjwa wafikia 858 Tanzania nzima

    Niko kwenye usafiri wa umma mida hii. Tuliovaa barakoa ni 8 kati ya abiria 30
  10. bayonamperembi

    Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Moja ya waTz wakwanza kujitokeza kuipata hiyo chanjo kwa hiyari wakati ikiidhinishwa nchini niko hapa. Silishwi propaganda za kijinga za siasa mimi. Afya yangu ni ya thamani sana. Sikubali siasa za kijinga ziitawale akili yangu hata siku moja.
  11. bayonamperembi

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Kifo ni fumbo. Mungu pekee ndiye mteguaji wa hili fumbo. Lowasa 2015 walisema hauwezi urais maana ni mgonjwa àtaenda fia ikulu. Je binadamu alifanikiwa hapa? Lowasa yungalipo. Lissu je! Risasi zote zile na bado anadunda. Lakini kejeli alizopokea utadhani si binadam. Naskia baada ya kupigwa...
  12. bayonamperembi

    TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

    Poleni wafiwa. Ni wiki kama mbili hivi nilienda ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha nikalikuta hilo li V8 limepaki kwenye private parking ya RAS japo yeye binafsi sikumwona. Dah kweli tulikuja bila kitu na tutaondoka bila kitu.
  13. bayonamperembi

    Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

    Kwamba chanjo nyingine ni sawa ila si hii ya korona siyo? Hii Sirikali ina nini na korona? Huko kwa wazungu ndo imewafyeka zaidi wao ndo walipaswa waanze kuzikataa.
  14. bayonamperembi

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Anyway, ndo serikali ya wanyonge tu ndo inaweza kukomba fedha kwenye akaunti ya shule ili watoto wa "wanyonge" wanaofadhiliwa washindwe kuendelea na masomo.
  15. bayonamperembi

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Kama Takukuru inajua majukumu yake, basi iichunguze NEC tubaini nani aliefoji barua ya Mnyika. Hili jambo si la kuachwa lipite hivi hivi. Anyway najifurahisha tu, najua kitu kama hiki hakiwezi kufanyika maana wote hawa lao moja. Wanafuata amri toka juu kwa "mtukufu" ambaye ndo anakesha na...
  16. bayonamperembi

    Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

    Hivi, wangeheshimu kura zilizopigwa na Watz purukushani hizi za kijinga zingetokea? Yaani inafkia hatua tume/sirkal inaghushi ili kuhalalisha haram iwe halali!!!
  17. bayonamperembi

    Mcheza mieleka Mark William Calaway (Undertaker) astaafu kucheza mchezo huo baada ya kushiriki kwa miaka 30

    "Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema.
Back
Top Bottom