Search results

  1. Guantanamoh

    Haki ya mtoto nje ya ndoa kurithi mali

    Historia ya Nafasi ya Mtoto wa nje ya Ndoa katika Mirathi Katika masuala ya mirathi jambo mojawapo ambalo limekuwepo katika jamii na limeibua changamoto kubwa ni nafasi ya mtoto wa nje ya ndoa kurithi mali ya mzazi wake. Suala hili limeibua migogoro ya kila aina kwenye familia mara baada ya...
  2. Guantanamoh

    Amuua mke wake kisa tamaa ya mali

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 56 Mkazi wa Buzilayombo Wilayani Chato Mkoani Geita anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumuuwa Mkewe aitwaye Kasaka January (48) kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake chanzo kikidaiwa kuwa ni tamaa za mali zilizokuwa zinamilikiwa na Mwanamke huyo...
  3. Guantanamoh

    Ipi Hospitali nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua

    Habari wadau. Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua. CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale. Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na...
  4. Guantanamoh

    House4Rent Eneo la Bar/ Mgahawa unapangishwa Sinza

    Mgahawa/ Bar ipo maeneo ya sinza mugabe. Kodi ni laki tatu na nusu maongezi yapo. Unakodishiwa viti pia na eneo ni kubwa la kutosha.
  5. Guantanamoh

    Car4Sale Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 inauzwa

    Habari Waungwana. Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 Inauzwa Ipo kimara Dar es salaam.Imechukuliwa🤝
  6. Guantanamoh

    Mgahawa unapangishwa Sinza

    done
  7. Guantanamoh

    Eneo la jiko linapangishwa

    Habari waungwana. Eneo la jiko linapangishwa maeneo ya Sinza. Kwa taarifa zaidi nicheki inbox. Asante
  8. Guantanamoh

    Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  9. Guantanamoh

    Pale soko la Karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa?

    Habari ya saizi waungwana. Nimekutana na hizi taarifa mitandaoni nimeona nije niulize maswali nijiridhishe. Kwa wataalamu wa ujenzi. Pale soko la karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa? Wa Bilioni 32. Jamani zaidi ya rangi na partition sijui kama kuna...
  10. Guantanamoh

    Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna...
  11. Guantanamoh

    Sheria za Tozo

    Hivi sheria za tozo mpya kila siku nani anatunga? Wabunge wanachojua wao ni kupandisha bei za vitu na kutupa maisha magumu kila Siku. Nani ataliongelea hili. Mtu ana mshahara wa millioni 11 kwa mwezi ila hatusikii wao wakikatwa. Kodi za nyumba zao zinalipwa na serikali, mafuta kwenye magari yao...
  12. Guantanamoh

    Tuliombee Taifa na Tumuombee Rais wetu

    Ndugu Watanzania wenzangu, wapenda amani wenzangu. Nakuja mbele zenu jioni hii naomba wote kwa umoja wetu tuliombee Taifa letu. Tuwaombee viongozi wetu, Tuombee familia zetu kwa ujumla lakini pia tumuombee Rais wetu Mhe. John Pombe Magufuli. Nimeangalia picha za leo za Mheshimiwa ni kama mtu...
  13. Guantanamoh

    Airtel acheni wizi

    Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje...
  14. Guantanamoh

    Traffic barabarani wanatatua matatizo au wanayazidisha?

    Habari ya Jumatatu mwananchi. Leo naomba tudiscuss kitu kimoja ambacho kimekua kinanisumbua sana kichwa. Hivi kiuhalisia, Askari Barabarani wapo kutatua changamoto au kuongeza. Nna incidents chache nnazoweza kuzitolea mfano. Unakuta mtu amepata matatizo barabarani ghafla tu, gari yake imeanza...
  15. Guantanamoh

    Kodi, ushuru na tozo za Tanzanua ni kero kubwa

    Tanzania yetu hii Mungu atusaidie tufanye kazi kwa pamoja tukishirikiana vizuri na vyombo vya mamlaka.
Back
Top Bottom