Search results

  1. Guantanamoh

    Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    TRA haijengi barabara mkuu. Inakusanya mapato tu.
  2. Guantanamoh

    Yameanza kwa TRA yatafata kwengine, TRA kusimamia wenyewe ajira badala ya utumishi tunarudi kule kule kwenye ajira za ukoo na kujuana

    Mbona kuna safari walipanga usaili jumapili, hapo ni sawa si ndio? Nyie na hilo dhehebu lenu mna mambo mengi sana amueni moja
  3. Guantanamoh

    Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    Nina imani na nchi yangu tuwape muda👏🏼
  4. Guantanamoh

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Sio wewe uliesema fikra za kimaskini? Saizi ndo unasema kila mtu afanye anachoweza. Ungesema hivi mwanzo
  5. Guantanamoh

    Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Wawaoe sasa hao wakata viuno waone kasheshe. Hivi viumbe pasua kichwa sana
  6. Guantanamoh

    Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Wanaume kuna ushenzi mmoja siuelewagi, kwanini kwa wake zenu mnakua wabahili sana mnakazana mtoe 50/50 ila kwa michepuko mnatoa kila kitu kizima kizima. Mnahonga magari, nyumba etc wakati huyo hawara hakulelei watoto watoto kukuhudumia ukiumwa. Mna upumbavu gani?
  7. Guantanamoh

    Kenya: Watanzania watajwa kwenye orodha ya Magaidi 35 wanaotafutwa na Serikali

    Hivi wakishaingia huko ndo wanapewa majina ya kina Abdi, Ali au?
  8. Guantanamoh

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Na raia milioni 61 wote wawe wafanya biashara nani mteja? Hivi mnadhani biashara ni kama kupumua ee, basi kusiwe na kozi za udaktari watu waache waende kuuza vitumbua.
  9. Guantanamoh

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    1. Kila mtu akifanya biashara nani atakua mteja? 2. Nlishaandika huko juu. Una uhakika gani ukifa watoto wako watakua na uelewa wa biashara yako au watagain interest ya biashara yako. Umesomesha mtoto aje kuwa pilot ukimwambia akasimamie machine za kukobolea mahindi atakuelewa? Endeleeni na...
  10. Guantanamoh

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Wengine humu mnasema biashara sio ngumu wakati mmekuta alishakufungulia baba yako kafanya kukuachia urithi. Umekuta foundation imekaa vizuri we kazi kusugua kisigino tu Mtupishe
  11. Guantanamoh

    Jengea tofali imara za mwamba kutoka Holili, Rombo, Kilimanjaro

    Hadi zinafika dar, tofali moja bei gani
  12. Guantanamoh

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    It depends na kitega uchumi unachokifikiria wewe. Kuna kampuni zina uza ardhi unalipa laki laki kwa mwezi. Hujapoteza hela. Huo ni mfano tu
  13. Guantanamoh

    Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Wewe ni mpuuzi. Kwahiyo wanaume wote duniani wanaokataa kuhudumia watoto ni kwasababu ya mwanamke? you were born angels au sio? Pathetic creatures wote wanawaza hivi
  14. Guantanamoh

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Hukatazwi kutoa maoni. Mi nimeshafanya biashara, nilikua na biashara kubwa tu na nilifunga. So huna cha kuniambia nna experience zote
Back
Top Bottom