Search results

  1. M

    ESCROW: Zuio la Mahakama likisomwa Bungeni leo jioni itakuwaje

    Chenga ya mwili ilipigwa siku ambayo Naibu Spika alimwuliza Zitto kuhusu maendeleo ya kazi yao akasema anasubiri apangiwe siku yeyote kuwasilisha ripoti... kisha jana Spika akasema anasubiri akina Zitto wajulishe kwa maandishi kuwa wapo tayari. Danadana hiyo ilikuwa kuvuta muda watu waandae...
  2. M

    Cabin Crew wa Japan: Huvutia Wateja?, Jee Tuwavishe Hivi Wa Kwetu?.

    Wa aina hiyo hawezi kuwa mke wangu, mke anatakiwa akupe amani ya akili na moyo kamwe sio jakamoyo, anatakiwa akufunulie wewe peke yako sio wengine, atanitia majaribuni akiwa hivyo maana hiyo ni sawa na invitation to tender...watu wata-bid ati...oooohoooo!! chezea wanaume wewe wengine...
  3. M

    Cabin Crew wa Japan: Huvutia Wateja?, Jee Tuwavishe Hivi Wa Kwetu?.

    Dada au mama sawa, kamwe sio mke chezea vingine bhana mke wangu niachie ooohooo!!!
  4. M

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Umenena mkuu, pamoja na kwamba aliyoyasema yana kila dalili kutokea ila mzee huyu amekuwa akitumia dini kwa amanufaa binafsi na kuifurahisha nafsi yake, Yesu alisema kuwa ufalme wake si wa dunia hii mbona yeye anang'ang'ania ya dunia??
  5. M

    Huu ndio mchongo mzima wa makipa wa Yanga walivyotaka kuiuza Yanga misri leo jnia

    huyo ndiyo zake...simba walimshitukia wakamwacha na yanga hawakumkimbilia upesi cjui nn kiliwakuta yanga wakamchukua anauza magoli kama maandazi.... hiyo ni fitina ya waarabu, kaseja keshawauza wenzake kwa vijisenti, ndiyo maana ataishia soka la bongo tuu
  6. M

    Karibuni kisiwa cha Pemba jamani

    Kwa mtindo huu watachelewa sana kiuchumi, haiwezekani uwalazimishe wateja kutembea na vyeti vya ndoa, labda kwenye enzi za ukomunist
  7. M

    Kwenda shule nako kunasaidia sana

    Akubali matokeo, kila zama na kitabu chake, zama zake zilikwisha avumilie
  8. M

    Daladala laivu

    Uswahilini kuna vitukooooo
  9. M

    1 person die and million cry 1 million die and no one cry

    The world had never been fair
  10. M

    Huu Wimbo wa "Kuchapiwa ni SIRI ya Ndani"

    Ili serikali isiwe kigeugeu, kwa kuifungia ile nyimbo ya wale waliokuwa wakijiita Ngoni Tribe, ya "Wanawake wazuri wameolewa wamebaki MANUNGAYEMBE wanahangaika" basi waifungie na hii, kwani angalau ile ilikuwa ikiwakataza wanawake kuwa wahuni. Pia ile nyimbo ya "MAMBO KWA SOKSI" ya hayati DR...
  11. M

    Nilielalanae Jana, leo kanijia na mumewe na mapanga mkononi

    huyo mwanamke na hao njemba ni weeeziiiiiii siku ya siku waambie mkalipane polisi
  12. M

    Sex According to Your Astrology Sign

    Mie kwangu hamna ukweli hata kidogo, huu ni ushirikina ukijaribu kufuatilia umetekwa na kumsahau MUUMBA WAKO...hawakawii kukwambia oohh nyota yako imechafuka inahitaji kusafishwa, mara ooohh vaa pete ya jiwe fulani, mara oohh ongeza mvuto wa biashara vaa mnyororo shingoni(mkufu??), mara njoo...
  13. M

    Stendi ya Hood Morogoro Hovyo

    Hawa watu ni wachafu sana, nashukuru mleta uzi umenikumbusha. Wananikera jinsi wanavyojali fedha bila afya za wateja wao, ni kweli hawana mpinzani katika njia ya Mbeya - Arusha lakini angalia hoteli wanazosimamisha mabasi yao kwa ajili ya chakula kwa abiria ni zile chafu sana za Waarabu mfano...
  14. M

    Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

    Nimefuatilia, ni kweli kwamba huyu mtu amelazwa katika hospitali hiyo baada ya kupigwa risasi na Polisi. Alipigwa risasi eneo la Karangai wakati walipokuwa wamebeba mkaa wa magendo katika lori ambalo liliposimamishwa na polisi halikusimama, polisi walilifuatilia wakalipiga risasi matairi...
  15. M

    Mnapotuita TBCCM, POLISICCM nk,, Mmekata tamaa? Mkshika dola mtakuja na polis wenu?

    Umenena kweli Mkuu, tatizo watu wengi ni mashabiki humu na wala sio Great Thinkers
  16. M

    Ngo ngo ngoo Nagongewa gesti hausi muda huu

    piga simu 112 au 113 kwa msaada wa haraka...Happy New Year 2014!!
  17. M

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Kwanza kabisa mimi si mwanamke, pili maneno "Ufinyu wa elimu" fulani sio tusi kwani ni watu wachahe sana duniani ambao wanayoelimu ya kila nyanja, kama wewe ni daktari unaweza kuwa na ufinyu wa elimu ya uhandisi. Nashangaa jinsi ulivyotokwa na povu kwa jambo jepesi kama hili. Aidha, maelezo yako...
  18. M

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Ni kweli mkuu, kwa asili yetu sisi Waafrika hatukuwa tukivaa nguo hizi tunazozifahamu sasa bali ni vipande vidogo vya ngozi na magamba ya miti kwa kiasi cha kufunika kwa uchache uke na au uume tuu kwa watu wazima. Wanawake waliyaacha wazi kabisa matiti yao na halikuwa jambo la ajabu...
  19. M

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Kinachowasumbua ni ufinyu wa elimu kuhusu haki za binadamu na hulka zenu za kuwanyanyasa wanawake. Mwanamke hata avaeje mhalifu wa ubakaji atambaka tuu, ushahidi ni kwamba hata huko nchi ambazo wanawake hulazimika/hulazimishwa kufunika viungo vyao vyote vya mwili labda isipokuwa macho, yapo...
Back
Top Bottom