Search results

  1. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  2. Zacht

    Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

    Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi. Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara. Biya...
  3. Zacht

    Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

    Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger. Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka Syria, ambao walikuwa wanapigana kulinda serikali ya Syria dhidi ya ISIS, Al-Qaeda na FSA...
  4. Zacht

    Ufaransa imekasirishwa na mwenendo wa Marekani kuhusu Niger

    Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
  5. Zacht

    Wataalamu wa irrigation na wadau wengine Naomba maoni yenu hapa.

    Habari za asubuh . Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji , Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia...
  6. Zacht

    Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

    Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi. Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae...
  7. Zacht

    Mkuu wa Kikundi cha Wagner Yevgeny Prigozhin, ametoa maoni yake juu ya mzizi wa matatizo nchini Niger

    "Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu. Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
  8. Zacht

    Putin: Kama watatumia cluster bombs na Sisi tutatumia

    Cluster bombs ni Miongoni mwa mabomu yaliyopigwa marufuku na umoja wa mataifa kutumika kutokana na uhatari wake , lakini hivi karibuni marekani ameonyesha nia ya kumpatia Ukraine mabomu hayo na kuyatumia dhidi ya urusi. Majibu ya Putin juu hilo ni kwamba urusi inayo hazina ya kuzosha ya...
  9. Zacht

    Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

    Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa. Iakini upango huo...
  10. Zacht

    Jinsi Putin alivyoifanya Urusi kuwa kubwa tena

    1) Alifanikiwa kuwapunguzia au kuwafuta kabisa Watu wanao unga mkono maadui wa Russia (Fifth column) wakati inchi ikiwa kwenye migogoro au vita. 2) Aliwatuliza wana jihad wa Chechnya ambao walikuwa na silaha /zilizofadhiliwa na CIA. Kuwashinda wanamgambo hao kuliongeza morali kubwa sana...
  11. Zacht

    Kikwazo ambacho Marekani aliyomuekea Uchina kimemrudia mwenyewe

    Baada ya Marekani kuiwekewa vikwazo sekta ya utengenezaji wa chips ya China, China nayo imelipiza kisasi kwa kuwekea udhibiti wa mauzo ya nje(export) kwenye madini ya gallium na germanium, hizo ni metal mbili muhimu zinazohitajika katika utengenezaji wa chips. China inachangia 98% ya...
  12. Zacht

    Baadhi ya Brigades za Ukraine hazijulikani zilipo

    Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve Mahususi kwa ajili ya kufanya counteroffensive ili kuyarudisha nyuma majeshi ya Russia Lakini hadi sasa kwa mujibu wa...
  13. Zacht

    Alexander Lukashenko: Nilijitahidi kumshawishi Prigozhin

    Raisi wa Belarus anasema: "Nilikuwa nikijaribu kumshawishi [Prigozhin] kwa muda mrefu. Mwishowe nilisema: 'Unajua, unaweza kufanya chochote unachotaka. Lakini usinichukie (kwa nitakacho kifanya ). Kikosi kimetayarishwa kwa ajili ya kupelekwa Moscow tutaitetea Moscow kama tulivyoifanya mwaka...
  14. Zacht

    Putin ameagiza Wagner wafanyiwe uchunguzi

    Putin anaendelea kumtafuta mchawi wake huku ikiwa tayari ametangaza kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wa Wagner kwa uhaini walioufanya. Hivi sasa ameagiza mamlaka husika kuanza kuwafanyia uchunguzi Wagner group kwenye matumizi yao ya pesa. Kwa kuangalia hela walizo lipwa na matumizi yao
  15. Zacht

    Putin kuifuta Wagner group

    Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger 1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi 2...
  16. Zacht

    Sababu iliyowapelekea Wagner group kuasi

    Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi. Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation. Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu (waziri wa ulinzi ) Kwa madai ya kuagiza Kwa Siri kulipuliwa Kwa baadhi ya kambi za Wagner Wagner...
  17. Zacht

    Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  18. Zacht

    Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
  19. Zacht

    Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

    Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
Back
Top Bottom