Search results

  1. Zacht

    Kifaru Cha Uingereza CHALLENGER 2 chaungana na vile vya ujerumani LEOPORDS 2 kuchomwa moto na majeshi ya Urusi: ABRAHAMS cha USA kitafuata mkondo!

    Kweli?, So what happened to those lost brigades zilifeli wapi kuzilinda na Kwanini hakuna counteroffensive iliyofanya kazi hadi saa pamoja na hayo madubwana kuwa Bado ni balaa.
  2. Zacht

    Kifaru Cha Uingereza CHALLENGER 2 chaungana na vile vya ujerumani LEOPORDS 2 kuchomwa moto na majeshi ya Urusi: ABRAHAMS cha USA kitafuata mkondo!

    Mkuu nisidie kuuliza kwa pro NATO Himars, javelin na switchable kamikaze drone zimeenda wapi siku hizi , maana sisikii tena habari zake
  3. Zacht

    Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Mzee wa kuvuliwa -Upadri -Unachama CCM -Unachama CDM -Ndoa -Ubalozi To be continued...
  4. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Kila kitu kilianza kigeni promotion ndio inayotambulisha bidhaa ,yani mtu kwasababu hajawai kutumia au kuona bidhaa fulani basi anaamini hakiwezekani huku kukutatisha watu tamaa
  5. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Siku zote gharama ya bidhaa inapangwa kulingana na upatikanaji wake, operation cost yake na packaging. Upatikanaji wa nyanya hasa kwa msimu wa mavuno ni mwepesi na kwa bei rahis, pia package na utengenezaji wake rahis.so sidhani kama bei inaweza kuwa juu sana Ila kumbuka mkuu hii ni value...
  6. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Biashara asili yake ni idea za vitabuni (mawazo ya watu) huwezi kusema hakuna mtu atakaye nunua tomato powder kwasababu tomatoes fresh zipo na hujawai ku practice Wala kufanya research zaidi kuwaona watu fulani wanefeli tena bila kujua Sababu nini. Tomato inategeneza products nyingi na zote...
  7. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Viwanda na masoko vipo mkuu shida inakuja wakati wa mavuno uzalishaji unakuwa mkubwa kuliko mahitaji sasa shida inarudi kwa wakulima wanauza kwa kiwango kidogo kilicho baki wanakuwa Hawana pa kupeleka ,hivyo badala ya kudump bidhaa zilizo kosa soko basi ni Bora mkulima afenye hivi hili kuepuka...
  8. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Biashara ni pamoja na kuangalia wenzio wameshindwa wapi ,hao walifeli pengine labda kwenye masoko nadhan ukiwekwa mkakati mzuri unaweza kuvuka mbele zaidi ya waliko inshia wao.
  9. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Hapo ni wewe tu sasa kufanya marketing strategy nzuri kwasababu ni bidhaa ambayo haijazoeleka na wengi ila kwenye ubora na efficiency ni sawa tu matumizi ya nyanya za kawaida, kwahiyo hapo hautauza kitu Cha tofauti ni nyanya tu zilizo kwenye muundo wa unga. Yani hapo ni kudeal na kitu kinaitwa...
  10. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wenzetu masoko yao ni ya uhakika na wana technology ya kuzihifadhi yanya kwa ajili ya kutumia kipindi Cha uhaba ,kwahiyo wakulima wanazalisha kulingana hitaji la soko na ikitokea uzslishaji umekuwa mwingi basi nyanya zinahifadhiwa. Lakini sisi huku kipindi Cha mavuo mazao Yanakuwa mengi hitaji...
  11. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Asante kwa kunielewa mkuu, Mimi sifanyi kilimo hiki ila naona jinsi wakulima wengi wanavyoteseka kwa kupoteza mazao hasa ule msimu wa nyanya unakuta tenga la linauzwa kwa ya hasara , Mimi pia nataka nianze kufanya hivyo , ila nakushauri anza kidogo kidogo usikilizie soko lake
  12. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Kichanja hakina gharama mkuu ukizingatia upatikanaji wa meterial ni mwepesi na bei nafuu,ni kazi ambayo unaweza kuifanya hata mwenyewe bila kumlipa mtu au kama utakosa muda wa kufanya cost yake still ni ndogo . Labda kama hayuko interested lakini ni Njia nzuri sana ya kuongeza thaman yanya zako
  13. Zacht

    Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  14. Zacht

    Upwiru wa dakika tano ulivyobadilisha Maisha yangu

    Sijasoma hadi mwisho ila Kuna msanii ailiimba "....when you cum , you came back to your sense..." Asante studio 🎙️
  15. Zacht

    Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

    Hii inaitwa last kick of a dying horse anahangaika tu ila kuliwa kichwa kupo pale pale ,mtu yupo madarakani miaka 41 Yani kipindi anaingia uraisi macron raisi wa ufaransa alikuwa na miaka mitano
  16. Zacht

    Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

    Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi. Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara. Biya...
  17. Zacht

    Simba SC Msimu ujao wa Dirisha la Usajili tusiuingie tena huu Mtego mkubwa na wa Akili wa Yanga SC sawa?

    Kuna trick Moja hivi Eng Hersi inaitumia ambyo inatumika sana kwenye minada , Ukifika dukani labda la nguo ukakuta Kuna nguo A na B na wewe ukawa umevutiwa mfano na nguo A basi wewe Cha kufanya onyesha interest ya kununua nguo B. Hapo utakuwa umefanikiwa kumuingiza chaka muuzaji atapandisha...
Back
Top Bottom