Search results

  1. N

    Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

    Habari zenu wadau, nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana Mbagala Dar es Salaam iko poa kwa kila kipengele
  2. N

    Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  3. N

    Msaada: Mpenzi wangu anatokwa na damu ukeni

    Habari zenu jamani, Nina mpenzi wangu siku zote tunafanya mapenzi bila shida yoyote. Lakini sasa imetia wiki tangu aingie period lakini tukifanya mapenzi anatokwa damu.
  4. N

    Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
  5. N

    Nahitaji chumba single kigamboni

    Habari za xmass wakuu ,nina uhitaji wa chumba kigamboni kiwe mji mwema kuelekea ferry ambacho ni single.Ntashikuru kama ntapata.
  6. N

    Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
  7. N

    Dada angu anatafuta kazi mpishi mzuri wa vyakula vya mgahawani hotel

    Habari zenu wadau, Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali. Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
  8. N

    Nipo njia panda kuhusu kuendelea kuishi ghetto. Ushauri wenu unaitajika

    Habari zenu wadau, nilikuwa naomba ushauri kutoka kwenu wadau ni hivi ninapoishi kodi yangu inakaribia kuisha nataka kurudi nyumbani kwa mzee. Na sababu ya kutaka kurudi nyumbani na kuacha kupanga kwa sababu ya kutokuwa na kazi kwa sasa so hela ya kodi sina. Lakini girlfriend wangu amekataa...
  9. N

    Msaada watu wa Civil Engineering wanaweza kufanya kazi TAZARA

    Habari zenu wadau. Ni hivi nilikuwa nataka kujua kwa mtu aliesomea Civil Engineering anaweza kufanya kazi kwenye Shirika la Reli TAZARA. Msaada wenu tafadhali.
  10. N

    Inaitajika roller ndogo ya kukodi

    Habari zenu jamani .Natafuta roller ndogo ya kukodi eneo la kazi chanika
  11. N

    Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za jioni.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nmesoma civil engineering level ya diploma na nina uzoefu wa miaka2. Nimefanya kazi kwenye project za barabara na majengo. Mwenye connection au nafasi ya kazi anisaidie sitomwangusha.
  12. N

    Jirani yangu ananifanyia visa

    Wakuu habari za jioni. Hapa ninapoishi mpangaji mwezangu ambaye ni mwanamke akikutana na girlfriend wangu anapokuja kunitembelea anamjaza maneno mabaya juu yangu. Nimchukulie hatua gani jirani wa hivi? Ushauri wenu muhimu
Back
Top Bottom