Search results

  1. voicer

    Kila mbunge aliyeshiriki kupitisha mkataba wa bandari zetu atupishe 2025

    Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu. Ingawa ninajua kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na...
  2. voicer

    Upinzani Mkiwa Makini! DP-WORLD Ni Turufu Muhimu kuiondoa CCM-2025!

    Mimi ni Freelance believer na ninasema wazi kwamba Upinzani ukijipanga vizuri.mkapanga hoja zenu vizuri. Mkaondoa "Ubinafsi" wenu! Mkaacha dharau baina ya chama kimoja dhidi ya kingine. Mkajitoa aibu na kuwashawishi baadhi ya walioko CCM kimwili ila wakikataliwa kiakili. Mkataba wa kinyemela...
  3. voicer

    Je, huu ndio mkakati mpya kupambana na asiyekuwepo?

    Ilianza kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino-DODOMA. Zikatumika mbinu na hila kubwa kuzuia lile jina lisitajwe wala kuhusishwa na ujenzi wa Ikulu ile. Ikaja kwenye ule wa Bwawa la Nyerere ambako wananchi waliwaaibisha wenye nia Ovu.kilichotokea wakati muwakilishi kutoka Familia alipoenda...
  4. voicer

    Landmark za Hayati Magufuli zinazowatesa wale jamaa ambao hawakuacha chochote

    Huyu Mwamba "JPM!" John Pombe Magufuli ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia. Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha...
  5. voicer

    Kwanini CHADEMA mnatafuna ruzuku, huku mkiisakama ACT Wazalendo?

    Siasa ni mfumo wa kushiriki na kuwakilisha fikra na mawazo huru kutokana itikadi tofauti za kiimani katika kuwakilisha hoja tofauti za kutafuta maendeleo kwa ustawi na maisha bora kwa wa jamii husika. Hivyo basi sio sahihi wala halali kulazimishana kushirikiana mawazo na misimamo ya chama...
  6. voicer

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani! Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko...
  7. voicer

    Viongozi CHADEMA, zileteni familia zenu toka ughaibuni zishiriki maandamano!

    Uongozi huwa ni kuonyesha Njia uongozi huwa ni pamoja na kusimamia yale mnayowaaminisha mnaowaongoza kwa vitendo. Sasa Chadema kupitia mwenyekiti wake Ndugu Aikael Freeman Mbowe Mmewatangazia watanzania kuwaomba wawaunge mkono katika maandamano yenu, kutaka mapendekezo yenu yaingizwe kwenye...
  8. voicer

    Hiki ndio kilichompeleka Tundu Lissu huko EU hivi majuzi!

    Safari hii alipotimkia Ubelgiji alikwenda kulikoleza kwa akina Amsterdam na matokeo yake ndio haya..... Kisha akaja kujibanza hapo Kenya akifanya vikao na wale wanufaika wa Loliondo huku akijinadi na vi- interview vya kinafiki kumbe anasubiri miamala iwekwe sawa toka majuu. "Motion for a...
  9. voicer

    Ni wakati sahihi CHADEMA Kujitafakari!

    Ninasema hivyo kutokana na mtazamo wangu binafsi.siwakilishi chama chochote cha kisiasa nchini. Mbinu za ufanyaji siasa za chadema kwa sasa zimepitwa na wakati au zimechokwa! Ninaposema hivyo nina maanisha kwamba ...wananchi wanahitaji tofauti. Wakati Chadema pia mnalo hitaji lenu tofauti...
  10. voicer

    CCM inajijenga wakati CHADEMA inaendelea kulalamika!

    Huu mchezo wa siasa ni mtamu sana! Miaka zaidi ya 30 ndani ya siasa za upinzani nchini. Ni wazi kwamba CHADEMA bado haijajua jinsi ya kupanga karata zake. Badala yake tunaiona CHADEMA ikibaki kuwa mcheza ngoma wa CCM. Mfano hai ni jinsi Paul Makonda wa CCM anavyozunguka nchini kuiamsha CCM...
  11. voicer

    Mpina Ni Mbunge Pekee Wa CCM Anayetambua Kilichompeleka Bungeni.

    https://youtube.com/watch?v=6O75Oiw0xZs&si=XMOFwh0wGiRDG1XD Historia itabaki hivyo, pamoja na kuvurugiwa sana hotuba zake Bungeni. Kwa kuomba miongozo ya spoka na taarifa zisizo na kichwa wala miguu. #LuhagaMpina bado atabaki kuwa mbunge pekee kutoka CCM ambaye anajitambua na pia kutambua...
  12. voicer

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
  13. voicer

    DP World ikiingia Bandarini, CCM itaondokea nchi kavu Tanganyika!

    Tangu jana tunashuhudia kupostiwa topic kadhaa za vibaraka wa CCM na DP-WORLD humu zikiwa na dalili ya ku-test upepo wa Jamii kuhusu uwekezaji wa kifisadi wa DP-WORLD Kwenye Bandari zetu. Enyi vibaraka, mnachopaswa kuelewa ni kwamba kama Samia na CCM yake wataziba masikio na kuendelea na huo...
  14. voicer

    Anayejua Msigwa Alichokuwa Akifanya Ikulu Atuambie!

    Huyu jamaa alikuwa amepwaya kuvaa viatu vya msemaji wa Serikali. Aligeuka kuwa Chawa badala ya Msemaji wa Serikali. Sikuwa nikiona tofauti kati yake na ma- Chawa wengineo mfano kina Mwijaku nk. Huko Michezo panamfaa zaidi maana hayuko serious na Michezo na Burudani patamtosha kabisa.
  15. voicer

    Kuangushiana Majumba Mabovu,Sio Suluhisho!Ripoti Ya CAG Pia Ifanyiwe Kazi.

    Ghafla tumeona moto wa tenguzi ukiwashwa kwa Spidi ya 5G. Alianza waziri Mchengerwa, Tukamuona Waziri mkuu pia huko Kigoma. Na sasa tumemuona Mheshimiwa Rais Samia huko Mtwara. Na kisha akarudia Dodoma na kutuwekea mwanajeshi Bodi ya TANESCO. Hili linaweza kuwa na tija endapo tu, litakuwa ni...
  16. voicer

    Makamba Tanesco Promo!,Mtwara Tumbuzi Za Ghadhabu!

    "Makamba na Tanesco ni Kero ya kitaifa na Madhara yake ni Makubwa zaidi. hayakupaswa kupuuziwa" Rais Samia amefanya Utenguzi wa Viongozi waandamizi karibu wote pale Mtwara kasoro Mkuu wa Mkoa pekee. Hii ni kutokana na ghadhabu ya Rais kutokana na wimbi la urudishaji kadi za CCM lililoibukia...
  17. voicer

    Ni kazi ngumu kuwatetea Watanzania

    Hakuna Jambo gumu Duniani kama kuwatetea watanzania hasa hasa "Watanganyika" kwa sababu walio wengi hawajitambuwi hata kidogo. "Watanzania wengi wanacheka kwa yale waliyostahili Kulia na Wanalia kwa yale waliyostahili kucheka" Watanzania wengi ,hususan vijana Wanachoweza ni ku-bet Kucheza...
  18. voicer

    Kuvizia Uteuzi ni janga la Kitaifa kwa sasa

    Uteuzi holela umesababisha taasisi nyingi nyeti kupindisha mifumo ya kiutendaji na kuzorotesha dhamira kuu ya ufanisi. Sababu ya kuogopa kumuudhi mteuzi. Sasa imekuwa rasmi ufanisi kwao no kumpendeza mteuzi ili awaone na kuwakumbuka pindi nafasi zinapotokea fursa. Wanasheria na TLS yao...
  19. voicer

    CCM kunafukuta! Njooni mkatae na hili!

    Uzi kutoka X, kina Lucas mwashambwa & company JF muisome na kujitambua "Inawezekana ni jambo ambalo wengi hawajui kuwa linaendelea ndani ya CCM ,na sishangai kwa kuwa watanzania tuna tabia ya kutofuatilia mambo na kuyatafiti lakini kwa maamuzi haya ya Daniel Chongolo nadhani yabatia mashaka...
  20. voicer

    Ziara Ya Samia Imepwaya, ndio Sababu Mnafanya Mikutano Ya Ndani Kwenye Mahema!

    Tunaona Rais akifanya ziara kupitia mikutano ya ndani zaidi kuliko mikutano ya hadhara! Watu wanakusanywa kwenye Mahema toka sehemu za mbali na eneo husika sababu Idadi haitoshi kuwekwa maeneo ya wazi. Kisha tunaona ngonjera za tumepokea Pesaa! Bilioni.....wakandarasi wako kazini...oooh...
Back
Top Bottom