Search results

  1. manndungu

    Simulizi/Tamthilia: Mimi na mimi

    Hahahaha, nikatembea weeee mara nikachoka
  2. manndungu

    Simulizi/Tamthilia: Mimi na mimi

    Hujaelewa tatizo, sasa mambo ya nikatoka hapa nikatembea polepole mara nikajikwaa sijui nikapita uchochoroni mara nikanywa bia nikainyanyua chupa hivi na vile, acha kuzunguka mbuyu nenda kwenye point, unapoteza maudhui ya simulizi yako
  3. manndungu

    Simulizi/Tamthilia: Mimi na mimi

    Simulizi imejaa maelezo kuliko matukio. Inakata hamu ya kuifatilia
  4. manndungu

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Changarawe, hata gari ndogo inaenda, hata bajaji huwa zinaenda kabisa
  5. manndungu

    Filamu: Mwili wa mwanamke aliyekufa kwa sumu, umepotea Mochwari

    Naomba hiyo link ya WhatsApp mkuu Namba hiyo link ya WhatsApp mkuu
  6. manndungu

    Vinywaji feki vya Highlife maeneo ya Moshi vyatishia kampuni ya Derick Global Trading

    Hivi vinywaji vywa plastic namaanisha pombe za plastic zinawamaliza vijana kwakweli
  7. manndungu

    Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Long drop ndio salama kwa public
  8. manndungu

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Bora wewe alifanikiwa kukushape tabia, mimi alishindwa kabisa ilikuwa vita kali sana, ila baadae nilijiona mimi ndio mjinga
  9. manndungu

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Hicho chuma namba tano nakielewa vizuri sana, Mpande alikuwa noma kama sio fimbo ni mkono mkono mpaka kieleweke, tuliopita MTS kipindi chake tunamjua vizuri
  10. manndungu

    Anataka penzi la kisela

    Vipi kwani wewe ulimtongoza kwa lengo la kuoa au kuchakata mbususu tu?
  11. manndungu

    Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Inakuwa vipi hiyo simu ikipotea kabla hujamaliza deni!??
  12. manndungu

    DOKEZO Mauaji ya mraibu katika kituo cha Arusha Sober House

    Ngumu kuelewa haya mahudhui sana, fafanua vizuri andiko lako
Back
Top Bottom