Search results

  1. February

    Uchaguzi Kigoma kesho: CHADEMA na NCCR Mageuzi kikaangoni

    Kufuatia kikao cha mwafaka cha viongozi wa vyama vya CCM, CHADEMA na NCCR Mageuzi mkoani Kigoma kwenye Halmashauri ya Uvinza, muafaka huo umegoma kupatikana kufuatia kile kilichodaiwa kuwa misimamo ya vyama imekwamisha. Akizungumza hivi punde, Mh. David Kafulila ameeleza kuwa, ikiwa mpaka...
  2. February

    Hukumu ya kesi jimbo la Kasulu; Agripina (NCCR) Ashinda

    Mgombea wa ccm aliyepinga matokeo anaitwa sazugwanko alipata kuwa naibu waziri wa kikwete. Analalamika eti alitukanwa. Sasa kama babazima unashindwa na mwanamke kwann usitukanwe? Me nadhan majaj watazingatia haki badala ya ufundi
  3. February

    Hukumu ya kesi jimbo la Kasulu; Agripina (NCCR) Ashinda

    Wadau kuna taarifa kuwa hukumu ya kesi jimbo la kasulu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa nccr mageuzi bi agripina buyogera itasomwa leo. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kutujuza kitakachokuwa kinaendelea ingekuwa vema. Pamoja kigoma bado ipo nyuma kimaendeleo sidhani enternet haijafika...
  4. February

    Baraza la Mawaziri kivuli nalo lipanguliwe

    Naomba tupime wizara hadi wizara.
  5. February

    Baraza la Mawaziri kivuli nalo lipanguliwe

    Wadau serikali kivuli duniani kote hupaswa kuonesha kiwango cha juu cha uwezo kuliko serikali. Hii ni moja ya changamoto kubwa ninaiona katika mwenendo wa mpambano kati ya baraza la jk na baraza kivuli. Ukweli baraza la JK ni dhaifu lakini kiwango cha shadow cabinet kuonesha uwezo mbadala bado...
  6. February

    Kafulila afichua siri za watumishi - kuna wanaolipwa 20,000,000/= kwa mwezi

    Sasa kama vigogo hawa wanalipwa mishahara minono kiasi hiki bado wanaiba. Kuna sababu gani kuwalipa mishahara mikubwa kama haiwaondolei tamaa ya kuiba na wala hatuoni tija ya maana itokanayo na malipo hayo manono?
  7. February

    Huyu Said Juma Nkumba CV yake kumbe iko hivi... Na makelele yote yale Bungeni!

    Mbona cv yake inazidi ya mnyika? Wekeni na ya mnyika tulinganishe. Acheni upuuzi. Elimu ni upeo sio madarasa.
  8. February

    Mbowe yupo sahihi ,Kosa ni NCCR!!!

    Huwa nikimwangalia huyu katibu mkuu wa nccr naona kama mcameron hiv? Kalegeza macho muda wote. Au ndo ushwahiba wake na mbatia huo.
  9. February

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    Nimkakati na style ya siasa. Ukiona huwezi kuleta mabadiliko kwa maendeleo ya watu kwa hoja lakini bado unahitaji kuonekana njia pekee ya kuonekana ni crisses. Kuna watu ambao katika hali tulivu wanapungukiwa sifa za kuongoza na hivyo njia pekee ya kuhakikisha uongozi ni kuhakikisha hali ya...
  10. February

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Hongera kamanda. Leo imekurudia
  11. February

    NCCR wahaha kumvua Ubunge Kafulila

    Hiyo barua waliandika january. Huu ni mwezi march. Waliona pinda na makinda wanawapuuza. Wakamua kwenda mahakamani kumshitaki spika na katibu wa bunge. Kweli dr mvungi anajidhalilisha sana. Yani dr wa sheria unakuwa zezeta kiasi hiki?
  12. February

    Maandamano ya NCCR-Mageuzi, Mtwara

    Inanikumbusha kitabu cha hekaheka mtoni. Tehtehteh. Kazi kwelikweli.
  13. February

    Who is Christina Shusho historically?

    Anatoka jimbo la kafulila lenye wakongomani wengi
  14. February

    Mamia ya wanachama wa CUF Mtwara wahamia NCCR

    Warid huo ndio ukweli kuwa cuf inakufa lakini nccr ilikufa. Kama wanapigwa na kuzomewa na kushushwa jukwwani kwenye jimbo la mh machali wanapataje mamia huku mtwara ambako hawaongozi hata kitongoji? Mmekuja kufanya manunuzi kuliko hata sisiemu. Kweli hii nccr manunuzi. Sasa hao mliowanunua leo...
  15. February

    Mamia ya wanachama wa CUF Mtwara wahamia NCCR

    Yesu alisema acha wafu wazikane. Nccr na cuf wote ni wafu tuuu. Nccr ilikuwa mkoa mmoja tu wa kigoma sasa tangu katibu mkuu ruhuza ashushwe jukwaani akihutubia kasulu mjini jimbo la mh machali mpaka leo mbatia hataki kwenda. Anaogopa yasimkute yaliyomfika katibu mkuu wake. Sasa huko mtwara kuna...
  16. February

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Hapa ninachoomba ni mwenye uwezo wa kusearch atuwekee hiyo profile hapa. Mimi nilichokiona ndio hicho.
  17. February

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Nimesoma kwa masikitiko thread moja inayoelezea uhalali wa elimu ya mh kijana david kafulila. Niliposoma kuhusu shahada ya BBA nikastuka kwakuwa ninasoma nae pale mlimani nikiwa mwaka wa kwanza yeye akiwa anaingia mwaka wa tatu. Kila mara nyingi nakutana nae chuoni na kwakuwa ni kiongozi...
  18. February

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Jamani hebu acheni mada za uzushi. Nimefungua website ya bunge hicho kilichoandikwa sicho kilichomo. Kwa mujibu wa website ya bunge inaonesha kafulila anasoma udsm mpaka sasa. Au bunge lina website zaidi ya moja?
  19. February

    NCCR wawashitaki Spika na Katibu wabunge

    Mbatia na ruhuza wana usongo kweli na ubunge wa kafulila naivi wao wamechapwa vibaya kawe na ngara hapa ni mpaka kieleweke. Tatizo sijasikia programmu yoyote ya siasa inayoendelea. Kila wakichomoza ni mgogoro na kafulila. Arumeru hamwendi? Au mtasema mnaunga mkono cdm kuongeza nguvu ya upinzani...
  20. February

    kesi ya Kafulila vs mbatia kuanza kesho

    Bahati mbaya taarifa haijaweka bayana kama itakuwa ni kuhusu hoja ya kikatiba iliyofunguliwa au ile kesi ya kawaida ya kupinga taratibu za kuvuliwa uanachama
Back
Top Bottom