Search results

  1. hannibali

    Saa nane hii uwanja mweupeee

    Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema. Aya ngoja tuone muda ndo mwamuzi watakavozalilika watu na bonanza lao
  2. hannibali

    Ushauri: Kabeba ujauzito wangu lakini hataki nijihusishe kabisa na yeye

    Huyu manzi tunafanya naye kazi kampuni moja hapa mjini, nina mahusiano naye huu mwezi wa 5. sasa cha kustaajabisha ana mimba yangu ya miezi miwili ila anasema hataki nijihusishe na mimba yake kwani mtoto atamlea mwenyewe.# Nimejaribu kumwambia anieleze ukweli kuhusu hii mimba ameniambia ni...
  3. hannibali

    Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Habarini za muda huu waungwana. Majuzi kati kuna msiba ulitokea kuna jamaa mmoja alifariki lakini yeye alikuwa anaishi nchi za Scandinavia, umauti ulimkuta hukohuko lakini mwili wake ulisafirishwa kuja kuzikiwa huku, kitu kilichonishangaza ni kuona kuna baadhi ya watu walikuwa wanaonesha...
  4. hannibali

    Naomba mnipeleke sehemu wanayojipatia mke kwa kumfukuza na kumpiga ngwala

    Habarini za muda huu wanaJF, niende kwenye mada moja kwa moja.. Kipindi nipo Kenya kabla bado sijafika bongo tulikuwa tunasikia story kwamba huku bongo kuna sehemu ama mkoa ama ni mila ambako watu wanajipatia demu ama mke kwa kumlia mingo na kumfukuza kama wafanyavyo kuku halafu ukimpata basi...
  5. hannibali

    Kwani bila pombe sherehe haikamiliki?

    Habari za muda huu! Juzi nimehudhuria harusi kuna watu waliamua kufunga ndoa na ilikuwa ndoa ya Kiislam. Sasa pale ukumbini ilipigwa sala kabisa na mashekhe walipiga visomo kadhaa, mashekhe muda wote walikuwa wanapiga marufuku na kulaani unywaji wowote wa kilevi, cha ajabu baada ya dua, watu...
  6. hannibali

    Mzungu ombaomba Dar

    Habari zenu ndugu zangu poleni na majukumu. Jana nilikuwa nimetulia kwenye moja ya hotel hapa katikati ya jiji napendaga sana kuja kujipumzisha kidogo kupata vinywaji. Sasa bhana kuna jamaa mwenye asili ya kizungu akaja akanigusa bega kidogo akavuta kiti nayeye akakaa, Tukasalimiana vizuri...
  7. hannibali

    Tujuzane utaacha lini vitu vifuatavyo

    Habari zenu ndugu zangu na poleni na majukumu, haya tena kwa mara nyingine tena kijana wenu hannibali mkata shombo nipo kuzungumza na Jamii. Sasa bhana kama tunavojua kila siku watu tunapaswa kubadilika yaani kiufupi tusipende kufanya vitu kwa mazoea na ikibidi tuache kabisa kwani mazoea ni...
  8. hannibali

    Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

    Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki? Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu...
  9. hannibali

    Mbona Mwarabu amemdharau sana mwanamke kiasi hiki? Tatizo ni nini?

    Habari za muda huu wanaJF na poleni na majukumu ya kutafuta tonge. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kwanini Mwarabu amemdharau sana mwanamke? Imenifanya nifikirie kwa undani zaidi baada ya jana kuona footage ikimuonesha Mwarabu akimtoa mwanamke kwenye mgahawa ambao eti inasemekana...
  10. hannibali

    Daktari huyu ni muuaji

    Habari za muda huu wanaJF, niende moja kwa moja kwenye mada Leo nilienda dispensary moja ( jina linahifadhiwa) kwa tatizo langu binafsi, sasa nilikaa na mama mmoja ambaye ametoka kwa Daktari alikuwa anasumbuliwa na tatizo la UTI, tulikaa pamoja tukawa tunapiga stori mbili tatu yule mama alikuwa...
  11. hannibali

    Wanawake wa Tanzania ni tegemezi tofauti na Kenya na Uganda

    Habari za muda huu wanaJF, Natumai wazima na mpo na afya mzuri kabisa. Haya sasa kijana wenu tena kwa mara nyingine tena tuzungumze na Jamii. Kwa wiki kadhaa nilizokaa na mabinti, wadada na wamama wa bongo nimegundua kwamba ni tegemezi sana kwa kila kitu hata kama anafanya kazi tofauti na...
  12. hannibali

    Kuna kiashiria gani kwa wanaouza nazi, karanga na mihogo barabarani

    Habari za wakati huu wanazengo wote natumai muwazima kabisa bila kupepesa macho kijana wenu tena leo nipo tuongee na Jamii kwa pamoja Kuna biashara huwaga naionaga sana inafanywa na wakinadada, huwa wanauza karanga+mihogo+Nazi mara nyingi inafanyika barabarani hasahasa kwenye foleni. Mara ya...
  13. hannibali

    Unaponunua maji basi unachouziwa ni chupa tu, maji ni bure

    Habari za muda huu wanaJamiiForums tumaini langu muwazima wa afya na mnaendelea vyema katika harakati za kutafuta tonge la familia. Aya sasa kama ilivoada kijana wenu tena leo kwa mara nyingine tuongee na Jamii kwa pamoja..sasa bhana kuna kitu kimoja ambacho wengi hawakifahamu na natumai leo ni...
  14. hannibali

    Je, unataka kila siku upewe lift? Yafuatayo ni mambo 10 yakuzingatia unapopewa lift sehemu yeyote ile

    Habari za muda huu wanaJamiiForums, natumai na leo muwazima wa afya na mnaendelea vyema kulisongesha life. Haya kijana wenu kwa mara nyingine tena leo tunakutana hapa tuweze kuongea na jamii kwa pamoja, sasa kuna kitu cha lift hapa tukijadili nadhani ushawahi ata siku moja kupewa lift au...
  15. hannibali

    Je, umemgonga mtu na ukagundua 100% haujaonekana utafanyaje?

    Habarini za muda huu wanaaJamiiForums natumai wazima na mnaendelea kupigana na changamoto za life. Aya kijana wenu tena hapa tuzungumze na jamii kwa pamoja: Leo tujadili suala moja ambalo ni common sana katika jamii. Najua wengi wanaendesha magari, pikipiki na vifaa vingine vya moto washawahi...
  16. hannibali

    Maajabu wasomi wa chuo kikuu wanashindwa hata kujieleza kwa kiingereza

    Habari za Leo wanazengo natumai wazima wa afya na mnaendelea vyema na michakato, aya leo tena tupo hapa kuzungumza na Jamii.. Juzi nilitembelea Chuo Kikuu kinaitwa NIT almaarufu kama chuo cha usafirishaji nikabahatika kuwashuhudia wanachuo wakijidaliana masomo yao kwenye kikundi yaani group...
  17. hannibali

    Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

    Habari za muda huu wanajf poleni kwa majukumu na itoshe kusema kwamba ndio maisha hayo:: Sasa niende kwenye mada, kuna suala moja ambalo wengi hawalijui na itakuwa vizuri kueleweshana hapa ili kila mtu apate kuelewa. Mwanamke ukiona unatongozwa basi moja kwa moja umedharauliwa kwa kiwango...
  18. hannibali

    Wanawake wa JF wana akili na upeo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko wanaume

    Habarini za wakati huu wanajamii forum poleni na mihangaiko ya maisha: Leo kuna kitu tukizungumzie kwa umakini magreater thinkers Kutokana na utafiti wangu kwenye platform hii ni kwamba:: Kwanza; imeaminika wanawake wa Jf wana umri mkubwa kuliko wanaume kwenye hii platform hii ndomaana...
  19. hannibali

    Hakuna Chama cha Upinzani kinachoweza kuitawala Nchi

    Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki: Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo...
  20. hannibali

    Muwe makini kuna uwezekano Tundu Lissu kapandikizwa RFID microchip na wazungu kwenye mwili wake

    Habari za muda huu wanaJamiiForums wote, poleni na pilika pilika za maisha. Niende kwenye mada moja kwa moja. Kwanza, sina uzoefu sana na siasa za Tanzania lakini nimeona leo Tundu Lissu kapokelewa kutoka kwa wazungu huko Belgium. Hapa kuna suala moja ambalo inatakiwa kuwa makini nalo na...
Back
Top Bottom