Mara nyingi huwa watu wanapost humu kuwa wanataka kujifunza programming na hawajui waanze wapi.
Ukiwa beginner kupata resources nzuri zenye mpangilio mzuri ni mtihani kwa wengi.
Challenge inakuja pale unapotaja mtiririko mzuri wa kujifunza.
Kupata mtiririko mzuri utakao kuguide vizuri usipende...
Google Pixel 4 panda white in perfect condition. No major scratches or dents. Phone cover included.
4GB RAM.
64GB Internal.
90hz high refresh rate screen.
CPU: Qualcomm Snapdragon 855
Android 11 (guaranteed upgrade to Android 12 & 13)
Amazing Camera quality.
Dual Camera:
12.2MP normal...
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu.
Leo nitaelezea njia rahisi ya kujua kama charger ni fake or original.
Kwanza charger fake ni ile isiyofikia kiwango chake...
Baada ya LG kutangaza mwanzo wa mwaka huu kuwa wanauza mobile division yao imefatia kufunga biashara hyo ya simu mwezi huu ujao baada ya kukosa wa kuwauzia.
Hvyo wanafunga kabisa biashara hyo ya simu na kufuta ratiba yao ya mwaka huu ilikuwa imeshapangwa. Pia wana cancel simu yao yenye rollable...
Hapa karibuni kma siku 3 hivi zilizopita Internet speed zimekua mbovu sana. Natumia Voda na TTCL. Yaani speed imeshuka sana. Kwenye spend nilikua napata hadi 20mbps download lakini sasa napata 1 to 2mbps Voda. Yaani Voda ina buffer video ya 360p Youtube. Nyie wenzangu nao mmeona speed imeshuka...
Kuna baadhi ya mabadiliko ya APIs na kuna baadhi ya feature pia.
Hii ni developer preview kwa maana kuwa ipo basic sana na features nyingi bado hazijafika. Lengo lake hii ni kuwapa developers nafasi ya kutest API zao
More info:
Wenye simu ya Google Pixel or Android studio wanaweza install...
Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk.
Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
Kama mnavyojua kua kuna baadhi ya simu mpya kuanzia iPhone XS and above, Google Pixels na baadhi ya Samsung kua zinasupport dual SIM lakini moja ni physical sim card na nyingine ni eSIM ambayo carrier wanakuwekea. Je kuna mtandao wowote hapa bongo wana offer eSIM?
Sent from my Pixel 3a using...
Nime install Apple macOS kwenye Thinkpad t450. Kwa wale wanaotaka kudevelop iOS/macOS apps, video editing on Final Cut Pro X, Music production on Logic Pro X na hauna MacBook, basi Hackintosh ndio njia.
A Hackintosh is a computer that runs an Apple Macintosh operating system ("macOS" or "OS X")...
Wadau wa mobile development (Android & iOS) kuna anaye tumia Flutter humu kutengeneza app zake? Flutter inaonekana kama strong competitor to React Native na Xamarin kwa sasa
Wakuu nina swali kidogo. Niliagiza display ya laptop kutoka eBay trh 23 mwezi wa 6 na imeonesha kua tarehe 6 (Jumatatu) mzigo umeshapita customs na status imeandika
Hold item at Point of delivery. Reason: no home delivery. Go to pick up
Sasa sijatumiwa message wala kupigiwa simu, je natakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.