Search results

  1. racka98

    Computer4Sale Lenovo Thinkpad T450 for sale!

    Sent [emoji736]
  2. racka98

    Computer4Sale Lenovo Thinkpad T450 for sale!

    Hata kama kushuka bei sio 200k kwa laptop ya 5th gen yenye SSD, 8GB RAM na 1080p display. Mimi nauza kwa bei hyo sababu nina shida na hyo hela. T430 tu za 3rd gen zinauzwa 400k+ Kama kweli unataka mzigo njoo tuongee biashara
  3. racka98

    Computer4Sale Lenovo Thinkpad T450 for sale!

    Hela ndogo sana hyo kwa specification za hii PC
  4. racka98

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mm nna Thinkpad T450 ya 5th gen hapa nauza. Lenovo Thinkpad T450 8GB RAM 240GB Fast SSD 1920x1080 Full HD Display Intel 5th Gen i5-5300u 2.30ghz to 2.90ghz boost. [emoji367] 3hrs Battery Price: 390,000/= Contact: 0738463902 / 0743527350
  5. racka98

    Computer4Sale Lenovo Thinkpad T450 for sale!

    Lenovo Thinkpad T450 8GB RAM 240GB SSD 1920x1080 Full HD Display Intel 5th Gen i5-5300u 2.30ghz to 2.90ghz boost. [emoji367] 3hrs Battery Price: 390,000/= Contact: 0738463902 / 0743527350
  6. racka98

    Ushauri wa Laptop nzuri kwa ajili ya graphics design

    160GB ni 100k 180GB ni 120k 240 - 256GB ni kma 180k 512GB ni 250k kwenda juu. Hii pia inategemea ni SSD ya aina gani. Za SATA & mSATA ndio bei hzo za PCie or m2 or Nvme zinaongezeka kdg.
  7. racka98

    Msaada wa iphone xs max ya USA vs iphone xs max ya China

    Utofauti ni kwamba hzo za China mara nyingi ni refurbished
  8. racka98

    Msaada: Audio Drivers

    Njia rahisi na ya uhakika. Download Driver Identifier (portable version) ni KB chache tu. Link: DriverIdentifier Portable is available Kisha connect PC yako kwenye internet na scan. Ikimaliza itakuepeleka kwenye browser na utaona devices zote ambazo hazina driver. Itakupa option ya kudownload...
  9. racka98

    Nijifunze php au node js na express?

    Ndio maana nikasema from a technical stand point it is outdated. Sio kwamba haifai kabisa. Inafaa vizuri tu. Asynchronous programming, security & debugging methods za PHP ni outdated ukilinganisha na modern alternatives. Lakini bado ina mengi sana ambayo ni mazuri. Kwa mfano: 1. Scalability...
  10. racka98

    Samsung note 4 firmwale

    Samsung firmware zinaenda kwa kitu kinaitwa CSC. Angalia CSC ya simu yako kwenye settings ndio utafute firmware hyo. Mfano kwa Tz nyingi zinakua na CSC ya AFR
  11. racka98

    Nijifunze php au node js na express?

    PHP ina hela japo kuwa ni ya kizamani from a technical stand point. Kuwa ya zamani haimaanishi kuwa haitumiki. Over 80% of websites are built using PHP. Ipo stable na framework zake kma Laravel ni stable pia na hutumika na ma company mengi sana. Kusoma kitu kimoja haikuzuii kusoma kingine...
  12. racka98

    Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Usihangaike na mambo ya kuflash. Pitia hapo:
  13. racka98

    Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Kwani unataka kutoa FRP au kuflash simu?
  14. racka98

    Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Unahitaji custom DA file. Nenda Hovatek forum. DA files zote zipo. Kwenye kuload DA file nenda kwanza kwenye settings za SP flashtool na utoe option ya "Check LIB DA Match"
  15. racka98

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kutrack simu ilioibiwa

    Amesema ni network locked. So hata aliyeiba hawezi kutumia line. Hyo imeshakwenda maana haina hata Apple ID
  16. racka98

    Msaada google pixel 3a xl

    Ingia hii link: Google Play Then ingia imei number ya hyo simu them tuma majibu hapa
  17. racka98

    Programming Resource for beginners

    Mara nyingi huwa watu wanapost humu kuwa wanataka kujifunza programming na hawajui waanze wapi. Ukiwa beginner kupata resources nzuri zenye mpangilio mzuri ni mtihani kwa wengi. Challenge inakuja pale unapotaja mtiririko mzuri wa kujifunza. Kupata mtiririko mzuri utakao kuguide vizuri usipende...
  18. racka98

    Naombeni ujanja wa kutambua simu fake

    Ni simu gani? Ipige picha tuma humu tutaitambua kma ni fake au OG
Back
Top Bottom