Search results

  1. Morogoro kaskazini

    Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Mengine yalipita juu ya vinu vya nuclear
  2. Morogoro kaskazini

    Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Wanadeka deka walipize waone
  3. Morogoro kaskazini

    Iran yaonya kufanya shambulizi baya zaidi ikiwa Israel italipiza kisasi

    Safari hii nahisi Jordan nae kipigo kita muhusu
  4. Morogoro kaskazini

    USD 1.30 billion zimetumika Kwa usiku Jana kuzuia makombora ya Iran

    Ila kilikuwa kipondo kikali aisee i
  5. Morogoro kaskazini

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kuna makombora yameshuka mazima mazima
  6. Morogoro kaskazini

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kichapo kilikuwa kikali sana zile drone zilikuwa za kuizuga mifumo ya ulinzi
  7. Morogoro kaskazini

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kuna kambi ya jeshi la anga ya Israeli imechakazwa yote Israeli ililopoka kuwa imetibua asilimia 99% ya shmbulizi kumbe ngoma ilikuwa bado mbichi
  8. Morogoro kaskazini

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Leo watu wa ghaza wamekaa kwa amani hakuna hata ndege ya Israeli ilio katisha huko
  9. Morogoro kaskazini

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Mliosema Iran haitarusha hata jiwe mpo wapiiiiiii
  10. Morogoro kaskazini

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Mashambulizi yameshaanza huko
  11. Morogoro kaskazini

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Hao walikuwa waarab sasa leo marekani imekutana na muajemi kazi mnayo
  12. Morogoro kaskazini

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Hapa ndo naamini iran ni baba wa mashariki ya kati
  13. Morogoro kaskazini

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Ha ha ha ha kama vile waasi wa houth walivyo ifunga bahari nyekundu
  14. Morogoro kaskazini

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kwa hii jamba jamba sidhani kama Israeli itarudia kuichokoza iran
  15. Morogoro kaskazini

    Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Hiyo ni kauli ya netanyagu kwakuwa yeye haingii uwanja wa vita
Back
Top Bottom