Search results

  1. April

    Hatimaye Kafulila na Mbatia Jukwaa moja kata ya Bashneti..

    Baada ya kuwa na mgogoro uliodumu zaidi ya mwaka mmoja, hatimaye Mh. Kafulila na Mwenyekiti wake Mh. James Mbatia wahutubia jukwaa moja kata ya Bashneti huko Babati kwenye Uchaguzi mdogo wa Madiwani. Mkutano huo uliokuwa mkubwa sana kuwa kivutio kwa wengi, waheshimiwa hawa ilikuwa mara ya...
  2. April

    NCCR wawashitaki Spika na Katibu wabunge

    CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimewafungulia mashtaka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Spika wa Bunge, Anne Makinda na Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah kikitaka viongozi hao wachukuliwe hatua za kisheria kwa madai ya kukikuka Katiba ya nchi. Habari zilizopatikana na...
  3. April

    KAFULILA:"MAONI yangu juu ya marekebisho ya sheria ya KATIBA- Hakuna Jipya"

    Kufuatia kupitishwa kwa SHERIA ya marekebisho ya KATIBA leo Bungeni, Mh. Kafulila atoa maoni yake akitofautiana na maamuzi yaliyopitishwa leo. Mh. Kafulila ameandika waraka huu akiufafanulia UMMA juu ya mchakato huo uliopitishwa jinsi gani hauna TIJA wala hautaleta mabadiliko yoyote ambayo...
  4. April

    Mbatia amwomba Waziri Mkuu amsaidie kumtoa Kafulila bungeni

    Wanajamii, Katika hali isiyo ya kawaida baada ya Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bw.James Mbatia na wenzake kumaliza mazungumzo Ikulu hivi majuzi, habari za uchunguzi zinasema ya kuwa, mojawapo ya hoja ilikuwa ni kuiomba serikali isaidie kuhakikisha Mh. David Kafulila (Mb. Kigoma Kusini)...
  5. April

    Kisa cha Kafulila kuvuliwa uongozi hiki hapa

    Wakati hali ikiwa tete katika Chama cha CUF, mzozo mwingine mkubwa ambao umeibuka ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi umefikia hatua mbaya, baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Samuel Ruhuza, kumvua madaraka ya Ukatibu Mwenezi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. Akizungumza na...
Back
Top Bottom