Search results

  1. J

    Sina leseni ya Udereva lakini nimeendesha gari miezi sita

    wana jamii forum, habarini za majukum. naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hap . nimepata safari ya gafla kutoka DAR KWENDA MORO gari binafs ipo na mafuta yapo ya kutosha kwenda na kurudi ila sijawah...
  2. J

    RITA boresheni mfumo wenu wa uhakiki

    Kwa sasa inafahamika kuwa wanafunzi wengi waliomaliza masomo yao ya elimu ya kidato cha sita wanatakiwa kuomba mkopo kupitia bodi ya mkopo lakini kabla ya kufanya hivyo unapaswa kuhakiki cheti chako cha kuzaliwa kupitia MFUMO WA RITA. Hapo ndipo hekaheka inapoanzia, kwanza unapaswa kusubiri...
  3. J

    Airtel Tanzania tumewafanya nini wananchi wa Wilaya ya Songwe?

    Leo ni wiki ya pili sasa mtandao wa AIRTEL unasumbua mawasiliano yake katika wilaya hii.kuanzia kupiga simu kwani unakuta simu iko hewani lakini unaambiwa haipatikani au ikipatikana hamuelewani kwani simu inakatika katika. Kwenye internet ndio kabisa, mawasiliano hakuna. Naomba mtuambie shida...
  4. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    STORI YAKO INANIKUMBUSHA TUKIO MOJA HIVI LILONITOKEA KATIKA MAISHA. UNAWEZA SEMA KULA KIMASIHARA KULIKO LETA MATATIZO KATIKA MAISHA. iko hivi niko zangu moja ya wilaya za mkoa wa kanda ya ziwa katika shughuli zangu za kutafuta nakutana na pisi moja matata sana ni mtoto mrembo, rangi ya...
  5. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    nina stori nyingi sana za kula tunda ki masihara.ngoja nianze na hizi chache.ilikuwa mwaka 2016 hapo mjini daslam...pande za ubungo,nilikiwa nimehamia kwenye nyumba ambayo ilikuwa mpya kabisa hivyo kufanya wapangaji wote pale kuwa wageni yani hakuna mkongwe . mimi nilikuwa mtu wa tatu kati ya...
Back
Top Bottom