Search results

  1. Mwalimu kp

    Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

    Kuandika tu hauwezi, halafu unadhani utakuwaje great thinker?
  2. Mwalimu kp

    Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

    Ukishamaliza kubemendeka utuambie tukuanzishie matibabu
  3. Mwalimu kp

    Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

    Usinitafutie ban bwana mdogo
  4. Mwalimu kp

    DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

    Nitajie walimu masikini waliokuja kuomba msaada kwako?????Ujinga umewafanya mmekuwa na chuki za kipuuzi sana.Kosa la mtu mmoja unajulimshaje kila mtu????
  5. Mwalimu kp

    Hivi ni vidonge GANI?

    Usiage mkuu,kwani umeshaenda kupima?
  6. Mwalimu kp

    Vishikwambi…

    Hapa nachati na kishikwambi,tuliza mshono
  7. Mwalimu kp

    Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Watanzania bado tuna safari ndefu kwa kweli.Ila Kaa tu ukijua kuwa hakuna maendeleo bila kuyachangia.Vya bure havijawahi kutosheleza mahitaji
  8. Mwalimu kp

    Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Wewe utakuwa ni mgeni mkuu. Mimi mwenyewe ninafuatilia hapa. Ila nikuambie tu kuwa wengi wanaotendewa hususani sisi wakristu huwa tunakuwaga kama na aibu fulani hivi kwenye kushuhudia. Ukitaka kuliamini hilo, angalia ule mfano wa kwenye biblia. Walitendewa kumi lakini ni mmoja tu alierudi kwa...
  9. Mwalimu kp

    Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

    Mbona kama Ni white gold ambayo imenakshiwa na diamonds???Mawazo yangu ni kwamba zingekuwa ni Pete ambazo hazina thamani angezivaa,wala asingezivua aziweke kwenye kipochi
  10. Mwalimu kp

    Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

    Yule Mzee aendelee tu kupumzika huko aliko maana alitufanya mazwazwa sana. Na mbaya zaidi ukihoji ni vitisho au upotezwe mazima. Ikawa ilimradi liende. Tatizo ambalo mpaka leo linanishangaza, kuna watu ambao wanamuona Magu kuwa alikuwa best President. Na hawataki kama alikosea watu wakosoe na...
Back
Top Bottom