Search results

  1. mkada

    Msaada: Umadhubuti wa tractor za Afrika kusini

    Mkuu Sunzu naomba tuwasiliane +255788475371
  2. mkada

    Msaada: Umadhubuti wa tractor za Afrika kusini

    Barikiwa sana. Huwezi amini jibu lako lina umuhimu gani kwangu. Nitakupa mrejesho.
  3. mkada

    Ushuhuda: Wauzaji wa Trekta Afrika Kusini

    Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
  4. mkada

    Wanataaluma nisaidieni: Kozi hii inahusu nini: Bachelor Of Science In Industrial Engineering And Engineering Management

    Tafadhali, naomba utumie neno makolo badala ya utopolo. Ahsante kwa kunielewa.
  5. mkada

    Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

    Before you kill a dog, give it first a bad name. Wanamtafautia tu mama sababu 2025. Mama has to be very stronger. We pray for you mama.
  6. mkada

    Msaada: Umadhubuti wa tractor za Afrika kusini

    Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za...
  7. mkada

    Naomba msaada wa tractor kuanzia 50 hp

    Mkuu naomba msaada kujua unapopata spare za tractor ya belarus. Nahangaika sana kupata spare hapa Tanzania. Kuna mzungu mmoja awali alikuwa anauza pale moro lkn naona siku hizi ameacha.
  8. mkada

    Spare za tractor aina ya Belarus

    Msaada kwa anayejua wanapouza hapa Tanzania spare za tractor za Belarus. Nipo Dodoma, changamoto ya spare za tractor yangu zimekuwa kubwa sana.
  9. mkada

    Spare za tractor aina ya Belarus

    Msaada kwa anayejua wanapouza hapa Tanzania spare za tractor za Belarus. Nipo Dodoma, changamoto ya spare za tractor yangu zimekuwa kubwa sana.
  10. mkada

    Naomba msaada wa tractor kuanzia 50 hp

    Habari, nina tractor Belarus, inanisumbua sana spare, namba yangu 0788475371 naomba tuwasiliane kama una access na spare zake.
  11. mkada

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    We mkuu ovyoo kabsa. Shule nyingi sana zimeanzisha huu mtindo, mi niliwaambia kabsa msiniletee ujinga, mwanangu hatakaa bweni na shule atasoma. Wanalazimisha bweni ili kupata pesa zaidi, lkn malezi ya watoto yapo hatarini sana. Mtoto anarudi amebadilika tabia hadi unamshangaa. Jirani yangu...
  12. mkada

    TTCL mnakula sana MBs

    Ni TTCL tu??? Mbona mitandao mingine haifanyi hv. Hv unafikiri nikinunua line ya TTCL nakuwa sina mitandao mingine?
  13. mkada

    TTCL mnakula sana MBs

    TTCL ni wezi aisee. Bundle zao hazina uhalisia na ukiwafuata wanakuwa na maelezp ambayo hayana maana yoyote. Niliachana na line ya TTCL baada ya kuliwa GB zaidi ya 15 kwa masaa. Nikanunua tena zikaliwa. Nikanunua tena zikaliwa. Nikawauliza inawezekanaje ndani ya masaa machache GB zaidi ya 15...
  14. mkada

    On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

    Kiswahili nakijua vizuri tu, nahangaika na lugha ambazo sizijui, hapa napiga french level 3. nous sommes tous là dedans????!!!
  15. mkada

    On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

    Nenda Aghkan Dar, hospitali iliyo karibu na bahari. Nimeenda leo nimevaa barakoa kabsa na ki sanitizer kangu mfukoni. Nilichokiona ni kwamba watu wengi tu walikuwa hawajavaa barakoa, including manesi na madaktari.
  16. mkada

    On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

    Kwa uchache hizo cases hazitakosekana, lakini kwa ujumla wake Tumshukuru sana Mungu. Misiba haina siri aisee. Hatuoni misiba wala maiti kama ilivyotabiriwa.
  17. mkada

    On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

    India wana joto kali lakini Corona bado inawapiga tu. Nafikiri mazingira yetu ni ya kipekee pia. Njombe na Mbeya kuna baridi kuliko Wuhan lkn wanadunda tu.
  18. mkada

    On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

    After the outbreak of this pandemic, every country tried to strategise on how to save lives of its people as well as stopping the ecomony from a free fall. This was not easy and has not been an easy tast for some countries as i write. Tanzania on the other hand, under the leadership of Dr...
  19. mkada

    Rais Magufuli: Watanzania mniombee ili nimalize vizuri kipindi changu cha uongozi kama ilivyo kwenye katiba baada ya hapo niwaachie wengine

    I love JPM, ataacha alama kubwa sana nchi hii. I dont care for how long he stays in power, Lakini miradi ya kimaendeleo inayoifanya bila yeye isingefanyika nina uhakika.
Back
Top Bottom