Search results

  1. U

    NAY WA MITEGO FEAT DIAMOND MPIRA GANi

    kweli simba wamechoka msimu ujao wasipoangalia vizuri watashuka daraja..
  2. U

    Ndege za Jeshi Dar

    hayo mazoezi ya kijeshi kwa ajili ya ckukuu ya muungano april 26, wala hamna kitu kingine chochote
  3. U

    50% of the people failed to answer it correctly, Lets see what you guys comes up with..!!

    kweli mkuu jibu ni 7 na wala sio moja mzizimkavu anapaswa kutumia BODMAS ili kupata jibu sahihi
  4. U

    Azania college of management.

    Jaman kwa anayefahamu kilipo chuo hichi hapa DSM naomba anielekeze sababu nina shida ya kutaka kufka hapo nkachukue admission letter plz plz naombeni msaada kwa hlo...
  5. U

    Msaada pls...

    Jaman wanajamv naomba kuulza et mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata maana kuna watu wanadai et anaweza kupoteza nguvu za kiume au zikapungua?
  6. U

    horse power episode 3 ya Nimeingia choo cha kike iko wapi?

    alisema ataendelea leo so tusubirie labda aendelee kufikiria mpaka baadae..
  7. U

    natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae....

    wadau mm ni mwanaume natafuta rafiki wa kike umri miaka 18-20 wa kuchat nae...
  8. U

    form two to form three-kila nimwonapo nacheka kabakia kuniuliza kwa nini huwa namcheka sana

    Hii haina tofauti na ile ya kijana mwanaume aliyeombwa ambebe mtoto wa kike kwenye daladala akawa anataka kumbaka matokeo yake akaishia jela au kwa sababu ni mwanamke ndo maana unaona sahihi assume ingekuwa kwa mwanaume na bint wa miaka 3 watu wangesemaje?
  9. U

    form two to form three-kila nimwonapo nacheka kabakia kuniuliza kwa nini huwa namcheka sana

    saiv hako katoto kana umri gan? Mpaka ukikaona unabaki kucheka?
  10. U

    natafuta rafiki wa kike

    natafuta rafk wa kike awe na umr miaka 18-21
  11. U

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Hivi kwan nn hasa matumizi ya hzo shanga wanazovaa kinadada weng viunon?
  12. U

    Utabiri wa TMA...

    hatimae ile mvua iliyotabiriwa na TMA(mamlaka ya hali ya hewa Tanzania) yaanza kunyesha kidogo kidogo maeneo ya Gongolamboto na Mbezi hvyo wale ndugu walioamua kurudi maeneo ya Jangwani wametakiwa kuondoka haraka,... Source East Africa Radio
  13. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    Anasoma chuo mwaka wa pili na c kwamba anakaa kwa wazaz yeye anaish kwenye nyumba ya kupanga na rafiki yake wanayesoma nae!!
  14. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    ipo nusu nusu vp kwan kuna sehemu ambayo haijaeleweka?
  15. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    ingekuwa hvyo nisingeomba ushauri
  16. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    hapana bado cjala tunda
  17. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    anasoma ila mara nying huwa nampigia wakati wa kulala muda ambao hata yeye mwenyewe nahs ndo muda huwa anakuwaga anapumnzika
  18. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    mi mwenyewe nimehisi hivyo lakin kinachonishangaza ni jinsi anavyokuwa muwaz kwangu hata kwa vtu ambavyo cjamuuliza
  19. U

    naombeni msaada Great thinkers!!

    Nina gf ila shida ni kwamba mara nyingi huwa nikipanga appointment nae huwa analeta excuse, na pia mara nyingine nikimuandikia sms au kumpigia cm huwa anaweza asipokee cm au asijibu sms,sasa hiyo hali imedumu kwa kipindi kama cha miez 3 nikiamua kumpotezea anakaa muda na ananipigia cm na kueleza...
Back
Top Bottom