Search results

  1. M

    Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

    Sio muda mrefu Tanzania itaingia kwenye kitabu cha rekodi kimataifa kwa kuwa na Bunge linaloongozwa na JUHA NA MWENDAWAZIMU!
  2. M

    CCM imwite na imuonye Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe

    Na mbaya zaidi alisema kuwa "wabunge wasiwaogope wananchi kwani itakuwa kelele za mitandaoni tu". Yaani ni kauli ya dharau na bahati mbaya wenzake walimpgia makofi. Inasikitisha sana.
  3. M

    Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Hivi mpuuzi mmoja alipomfananisha JPM na Yesu Kristo haoviongozi walisema chochote? Watuondolee upumbavu wao.
  4. M

    Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Dalili ya wazi kabisa ya wasaka-tonge kufilisika akili. Yaani katika changamoto ambazo zinalikabili taifa hili waowakaona hiyo ni mojawapo!? Tunasema basi "MWENDAZAKE". Sasa wafanye watakacho.
  5. M

    Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Wala laana ya kuruhusu hilo kutokea haitafutika. Tumeshajua, SUMU HAIONJWI.
  6. M

    Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    Msaka-tonge akiwa kazini. Mama ajihadhari na na komba-mwiko huyu, ni hatari. Ni huyu alishauri JPM tusiwe tunapewa taarifa za maambukizi ya Covid-19 na tusishangae tukianza kutoa taarifa hizo akawa wa kwanza kusifu na kuuzodoa utawala uliopita. Unafiki ni moja ya kazi ngumu sana. Unapaswa...
  7. M

    Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Mama anajibainisha kama kiongozi asiyetaka mbwembwe! Wote wanaotaka mbwembwe wakaunde makundi ya sanaa za vichekesho kwani nayo ni shughuli halali na pia yenye kuelimisha jamii, lakini kutumia u-RC kufanya hivyo HAPANA. By the way, Mama alimchelewesha sana huyu. Kati ya teuzi za Wakuu wa Mikoa...
  8. M

    Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Ndugu yangu Bunsen Burner, nakushauri usome historia kidogo kuhusu Waingereza. Utabaini kuwa walitawaliwa na Wafaransa, na katika kutawaliwa huko walioonekana wasomi na wastaarabu ni wale walioweza kuzungumza Kifaransa. Baada ya mamia ya miaka ya utawala wa Wafaransa, Waingereza walianza...
  9. M

    Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Kama JPM alivyochukua maamuzi magumu kwa kutekeleza viporo vya maamuzi ya tawala za nyuma kama vile; kuhamia Dodoma, kujenga bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere, kadhalika Mama Samia naye anaaswa kuweka alama yake kwa kuhakikisha Kiswahili kinakuwa lugha rasmi ya kufundishia katika ngazi...
  10. M

    Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Asante kwa uchambuzi mzuri na makini.
  11. M

    Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Najiona mwenye hatia nisipopongeza maoni yako! Asante! Ni Kiswahili kitakachowakomboa Watanzania na sio lugha ya kigeni. Tunaweza kujifunza lugha hizo lakini Kiswahili kikawa lugha kuu ya kufundishia kama tunavyokitumia kwenye mawasiliano.
  12. M

    Fredrick Lowassa, mbona kimya Bungeni?

    Huyo Fred bungeni haongei na unaambiwa jimboni hakuna cha maana kinachoendelea. Akitoka zake Dodoma ni Dar...! Masaini aende kufanya nini huko? Na hata akiendea kampani yake ni ya wachapa kinywaji na hana muda wa kuonana na watu wa kawaida.
  13. M

    Fredrick Lowassa, mbona kimya Bungeni?

    Kwa Monduli huyo ni mbunge-hasara tosha. Kwanza inasemwa ni chapombe wa kukata na shoka. Pili, huyo alibebwa na baba yake, hivyo maendeleo ya jimbo hilo yataendelea kutegemea ushawishi wa mzee huyo kwa watawala walio madarakani. Wenye Monduli yao wanasema yule aliyeshika nafasi ya tatu kwenye...
  14. M

    Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Pole ndugu kwa kazi kubwa ya kuandika uharo. Wasalimie wa kwenu!
  15. M

    Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

    Ndugu yangu, inaelekea wewe ni mlezi mzuri wa uovu. Siku nyingine yakikujia mawazo kama haya yakemee kwa kuwa yanatoka kwa yule mwovu.
  16. M

    Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

    Kama tutaendesha nchi kishikaji hivyo unavyopendekeza tutakuwa taifa la kipuuzi sana. Makala zako huko nyuma zilikuwa za kutetea nchi kuendeshwa kwa mujibu wa utawala wa sheria. lakini kwa bandiko hili, unatetea nchi kuendeshwakishikaji na kikada. HAPANA.
  17. M

    Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

    Ningemuona wa maana mbunge huyu kama angeleta pendekezo la serikali iliyopita kufikishwa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai kwa kusababisha mauaji ya kimbari kutokana na kupuuzia ugonjw wa Corona na hivyo kusababisha watu kupoteza maisha. Msukuma ajue kwa sasa Watanzania hawataki upuuzi...
  18. M

    Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Ulipata kujua CCM inawalipa wafanyakazi wake kwa vyanzo vipi? Je unajua CCM ilipora mali za umma kwa nguvu na kuzifanya ni miradi yake ikiwemo viwanja karibu vyote vya michezo nchini ambavyo vilijengwa kwa kodi za wananchi.? Acha ushabiki wa kipumbavu, leta hoja za maana na sio upupu wa upuuzi.
Back
Top Bottom