Search results

  1. fungi06

    Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi. Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
  2. fungi06

    Kama wewe ni fundi, au mkulima na upo site ila una upungufu wa vibarua wapate hapa

    Hello there! Kumekua na uhaba mkubwa wa ajira sana nchini kwetu, kiongozi sahihi atakae tokea kumaliza huu ukame atakua amesaidia sana taifa n hakika ataweka legacy kubwa kama ile iliyowekwa na baba wa taifa kwa kukomboa nchi. Mbali na ugumu wa ajira uliopo sasa nchini huenda mda mwingine...
  3. fungi06

    Yahudi na Palestina ndugu waliotengana muda mrefu nakusahauliana kulingana na mitazamo ifuatayo

    Mkuu ukiangalia vizuri utagundua awa jamaa ni ndugu tu Ona. Wao wanaita Mungu el (wayahudi) Wapalestina wanaita Mungu alha Awa vita yao haitoisha kabisa mpaka Mungu arudi labda. Maana ukicheki bible inasema watatangatanga, watachukuliwa utumwa, watapigana wao kwa wao. Mpaka wapate msamaha...
  4. fungi06

    Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
  5. fungi06

    Weka picha yenye ujumbe hapa

    Mfano...
  6. fungi06

    Ukiona taifa linapoteza hofu na Mungu ujue siku zinafika soon

    Siku hizi chache hapa jukwaani kumekua kuna rise threads nyingi zikihofia uwepo wa Mungu!, Binafsi nipende kutoa Onyo! Mungu akikasirika hii hii mitandao tunayo itumia kumdiss ataitumia kutuchapia nayo, na haki hamna atakae furahia kichapo hiki cha Mungu+ Si mnaona jinsi now mambo yanavyo...
  7. fungi06

    Masijala wanakwamisha shughuli za Watu na Serikali

    Wakuu ivi huyu masjal ni nani? Maana sikuizi ofisi za serikali nyingi ukienda kufwatilia maswala ya msingi..unaskia "barua yako haijajibiwa na masijala njoo mwezi ujao au mwakani njoo" Kirahisi rahisi ivyo? Ikumbukwe kua binadamu anaishi vizuri kwa kumtegemea binadamu mwenzake.. Pale...
  8. fungi06

    Yyuo vya udereva vilivyofungiwa Tanzania

    Napenda kutanguliza juhudi ya baadhi ya platforms zinazofanya vizuri kutufikishia wanajamii taarifa ambazo ni za muhimu maskioni kwetu... Nimekua nikifwatilia kwa siku chache sababu zinazo pelekea kuongezeka kwa ajali Tanzani, kumbe kunaanzia mbali sana. Moja kati ya vyanzo vinavyosababisha...
  9. fungi06

    Je! Ni wazo sahihu kujiunga na ILLUMINANT. Zipi ni hasara za kujiunga na freemason?

    Kwa miaka mingi watu wengi wamekua wakitamani kujiunga na illuminant (Frères-Maçons of Zion). Ila wengi wamekua hawaelewi ni nani kiongozi aliye juu ya taasisi hii nyeti sana dunia. Wengi wanatamani kujiunga Illuminati ili kutafuta majina, kupata nguvu na ushawishi kwenye public, kuwa na...
  10. fungi06

    Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

    Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo. Kwani homa hii inaambukizwajwe? Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi? Nawezaje kutambua ninazo dalili za gonjwa hilo? Nauliza pia ili nijue nawezaje kumpatia huduma yakwanza mtu mwenye gonjwa...
  11. fungi06

    Njia sahihi za kukopa bila kunyimwa Mkopo

    Huku tozo zikiwa zinazidi kunjunja vichwa, nimeona leo tujaribu kurahisisha maisha pale unapokwama. Ndugu hakuna njia yakutatua tatizo lako ukiwa ukingoni bila kuomba msaada au comeback kwa marafiki mpaka ndugu. Sasa leo mimi kwakua watu wanajaribu kuanzisha movement zao kwamba "BORA UMFADHILI...
  12. fungi06

    Kwanini kitunguu maji kinamaliza makali ya visu?

    Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi? Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu ya chakula mwili.. Nimekua nikijiuliza sana kwa nini visu vyangu kila nikikatia vitunguu geto...
  13. fungi06

    Siyo kila kijana mtaani ni Panya Road

    Nimekwazika sana... Leo hii nikiwa nimetulia napata huduma za kijamii eneo flani ivi katikati gafla nashangaa malalamiko mengi sana kwa watu kua vijana wa sasa ni panya road hii imeniuzi sana. Inamaana gani kikundi kidogo cha watu fulani wafanye vijana wote kuonekana vijana wa wa ovyo. Hii...
  14. fungi06

    Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake...
  15. fungi06

    SoC01 Vijana tukifanya hivi, tutafika mbali

    Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa kupata fursa kama hii katika kukuza na kukifikisha mbali kiswahili Inatia moyo kuwa kumbe bado watu wanamapenzi ya dhati na lugha yetu ya kiswahili. Turudi katika mada husika Vijana kama ijulikanavyo ni taifa la kesho. Lakini mpaka sasa vijana wengi...
  16. fungi06

    Mpenzi wako alikuhamasishaje kutafuta PESA?

    Ciao jf Bila kuchelewesha mada mezani kama swali hapo juu linavyo uliza! Je mpenzi wako (me.ke) alikuhamasishaje kujengeka au kuimarika kiutaftaji pesa? Sharing is caring waungwana😎
  17. fungi06

    Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
  18. fungi06

    Marafiki zangu nawapenda ila mke wangu nampenda na kumsikiliza

    Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka...
  19. fungi06

    Lini serikali itaona umuhimu wa Education Reformation?

    Tunaomba kila mkoa wasone kulingana na uhitaji wa mazingira wa eneo husika but this subjects must be tought to every child 1.mathematics 2.physics 3.chemistry 4.biology 5. Geography Na kiswahili, Ata kama wakisoma kwa kingreza but masomo yaliyo bakia yawe kulingana na mazingira yanavyo...
  20. fungi06

    Sababu gani inayofanya meno ya mbele kufa ganzi ukingata barafu

    Za mida? Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema? Basi kila jino mdomoni mwako liko connected na ubongo lakini turejee kwenye kichwa cha uzi kilivyo sema apo juu Kwa wale...
Back
Top Bottom