Search results

  1. fungi06

    Karibu Estadio Hernando Siles! Karibu kwenye Jehanam ya soka

    Wachezaji kambi wanashindia ugali dagaa, afu tunadai ushindi, labda tushinde njaa
  2. fungi06

    Baba vanga, bibi wa Hungary, anayeaminiwa mno duniani kwa najimu zake za kweli!

    Mwisho wa dunia ni pale jua litakapo amua sio binadamu atabiri.. kwa sasa acha mwanga uangaze, maana mwanga ndo chanzo cha nishati hai nyingi sanaa duniani
  3. fungi06

    PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

    Wanakata miti wanaotesha ukoka
  4. fungi06

    Live Lunar Eclipse 3/26/2024

    Tatizo nikwamba ipo ivi Maisha yenyewe ni umungu tosha kwaio kila kitu ni Mungu wewe mwenyewe apo kuna baadhi ya mambo huwa uamini yamekuaje kuaje but uwezi kuona maana inaitaji utulivu mkubwa kiakili Jaribu kutuliza siku moja akili and usimuone mungu kama yule dini zinazo abudu wewe...
  5. fungi06

    Live Lunar Eclipse 3/26/2024

    Nikiwazaga eti tupo juu la lijiwe linaloelea lenyewe nazidi kujua kua hatujui chochote na kutokujua kwetu ninikinaendeleaga uko angani labda ndo ponea yetu. God is always around
  6. fungi06

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Diamond anapiga sana mbususu ila afulii, kikubwa hapa nikujutambua nakutambua wakati, Kwani Kuna WAKATI WA kutafuta Kutumia Kula Kukaa njaa Kufa Kuzaliwa. Watu wengine hawajui kupangilia wakati ila adui mkubwa sana wa maendeleo ni Pombe ukishalewa you can't see clear an image...
  7. fungi06

    Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

    Kwa kawaida demu akikuuliza unafanya kazi Gani Kwa mara ya kwanza huwa anataka kujua kama kipato chako kinamzidi,,na ukikutana na demu wa namna iyo wewe usimjibu kwanza mwambie kazi Yako ndo inakufanya uwe ulipo ataijua akipunguza haraka
  8. fungi06

    Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    Nahunga mkono hoja.. au atumie shithead
  9. fungi06

    Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    Muandishi unaonekana ulikua fisadi Amna raia wakawaida asa asa wachini walio wengi wanaweza kubaliana na wewe Ukiangalia mabiashara hayo mengi yaliyozinguliwa ni yaleyale yanayotumika kutakatisha pesa. Ila sisi wajasiriamali tuliziona pesa nakujenga ndoto zikatimia. Now Hali ngumu kuliko...
  10. fungi06

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Mimi binafsi nimekuelewa sana mkuu and yu make sens,,, unajua kuna watu wanaamini sana kusu dini mpaka awakumbuki Mungu tena, binafsi mimi pia siamini dini yoyote ila naamini Mungu yupo. na huwenda aya mabaya mengi mazuri machache ni huenda Mungu ametuacha maana atujui kuongea nae tena jambo...
  11. fungi06

    Elon Musk kuisaidia Wikipedia $1 Billion, endapo tu itabadili jina

    Na ndo sheria ya watu mamafia,,, uyu jamaa mlinzi wake alikamatwa na kilo 120 za madawa yakulevya,,, nyie mnaweza mkawa mnaona anaitukana kumbe yeye anatarget masoko yake ya uko bitcoin
  12. fungi06

    Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    Kuna jamaa uwa wanaovertake mpk kwenye pedestrian crossing. Niliona ajali ya katoto ka shule aisee moyo ulimwagika
  13. fungi06

    Tupeane links za nyuzi za JF ambazo tunazoshindwa kuzipata

    Sema jamaa alikua anasoma sana vitabu
  14. fungi06

    Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

    🤣🤣🤣jf kwa chai hahaha chai hii bwana
Back
Top Bottom