Serikali iangalie kwa kina madhara yanayoweza kujitokeza kwa wananchi wanaovuka kutoka upande wa Tungi kwenda Yespa na Yespa kwenda Tungi, maana kuna wengine wanavuka ndani ya maji baada ya daraja kukatwa na wengine wengi wanavuka kwa kupanda juu ya tuta la mwendo kasi
Hili tatizo la maji Morogoro ni tatizo sugu, kasi ya uunganishaji maji na mgao wa maji hauendani kabisa na mahitaji ya watu, chanzo cha uhakika kipo mindu nashangaa kwanini miuondombinu ya maji inachukua muda mrefu hivyo kukamilika, Waziri, RC na DC fuatilieni swala hili mitaani mjue hali halisi...
Mkuu poleni sana sana, nmefurahi kumuona Fr Fidelis Mgimwa akiwa bado mwenye afya njema, mwl wangu wa social ethics 2010
Sent using Jamii Forums mobile app
polisi, chuoni, rasharasha, mlimani, beneti, kaburi moja, ngarash, sinoni, makao mapya, soko la vumbi, lashaine, olarashi
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuhangaika mtafuta bila mafanikio na kwa kuwa aliekwenda mkamata ni askari polisi anaefahamika na gari iliyotumika inafahamika tumeona tuireport humu labda tunaweza fikisha ujumbe kwa wakubwa zake kwa msaada zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa bodaboda waliokuepo eneo la tukio aliehusika kumkamata na kumfunga pingu ni polisi anaefahamika kwa jina la Asante na wameondoka nae kwenda sehemu ambayo kwa siku ya 3 leo hajulikani alipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kutoa taarifa ya tukio la utekaji wa kijana Narsisi Masama wa kijiji cha Galu Ukerewe uliotokea siku ya jana kijijini hapo uliofanywa na Askari wa Jeshi la polisi anaefahamika kwa jina la Asante Simon wa kituo cha polisi Mriti Ukerewe.
Askari polisi huyo pamoja na wenzake walitumia gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.