Search results

  1. Fundi Madirisha

    Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  2. Fundi Madirisha

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mbadilishe Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hatoshi

    Vijana endeleeni kupiga kelele wanahabari tupo nyima yenu.
  3. Fundi Madirisha

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mbadilishe Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hatoshi

    Binafsi jana nilileta uzi humu kulisemea hili humu MCT kwa kiburi chao wakaandika taarifa kwa umma wakijua itawasaidia. Hili baraza bure tu lipanguliwe
  4. Fundi Madirisha

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Kakuambia nani, hebu wafanye hivyo mwaka mmoja wanaine impact yake. Si waliondoa kigezo cha kwenda kufanya kazi mpaka mtu afaulu preinternship? Kwanini waliondoa? Warudishe uone hali itakavyokua mbaya.
  5. Fundi Madirisha

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Mwongozo wa WHO hakuna Preinternships, hakuna mtihani wa postinterndhip.Wanafunzi hupimwa na madaktari bingwa kwa Vitendo maeneo ya kazi na siyo maswali 150 ya kuchagua. Hii ipo bongo pekee.
  6. Fundi Madirisha

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Tuoneshe ni fani ipi au ni nchi gani kuna Pre and Post internship? Umewahi kuona au kusikia wapi?
  7. Fundi Madirisha

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya...
  8. Fundi Madirisha

    Wafamasia acheni kuwa kituko, simamieni taaluma

    Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
  9. Fundi Madirisha

    Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

    WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI. Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na fedhuli na wenye roho chafu. Katika hali isiyokua ya kawaida, Wakili Msomi nchini ndugu Petter...
  10. Fundi Madirisha

    Waziri Ummy Mwalimu na Wizara ya Afya kwa ujumla, chukueni ushauri huu msipotoshwe mtakosea

    Waziri Ummy acheni kufanyia siasa kwenye afya za watu
  11. Fundi Madirisha

    Waziri Ummy Mwalimu na Wizara ya Afya kwa ujumla, chukueni ushauri huu msipotoshwe mtakosea

    Mimi nimepeleka mke wangu kujifungua kwa opereseheni hospitali ya serikali nikapigiwa 300,000 jumla
  12. Fundi Madirisha

    DC Jerry Muro acha kupotosha umma kwa kutetea Ukatili wa Elibariki Kingu

    Hakuna kiongozi hapo, wapo kumpotezea Mama wa watu muda.CAG angeikagua ile Wilaya atakutana na Madudu mengi sana
  13. Fundi Madirisha

    DC Jerry Muro acha kupotosha umma kwa kutetea Ukatili wa Elibariki Kingu

    Wewe huenda una tstizo la uelewa, umeambiwa walikua wanapita kulikua na vijana wa CHADEMA wamekaa kwenye mti wanaonyesha vidole viwili wakawakamata na kuwatia ndani, Petter Kams kiongozi ailipowafuata waliokamatwa akaambiwa wewe ndio tulikua tunakutafuta. Naye walimuingiza kwenye gari na kuanza...
  14. Fundi Madirisha

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo. Ni wa kukemewa na kuadabishwa sawa sawa mpuuzi huyu
  15. Fundi Madirisha

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Kingu ni Gaidi kabisa uyu nimeangalia video nimetetemeka Mungu wangu 😭😭😭
  16. Fundi Madirisha

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Ninyi watubwa Ikungi ni wapole sana hata cha kumfanya huyo mbunge hamjui? Mnamchekea tu anazidi kuumiza ndugu zenu na uenda kuna aliowaua kabisa. Ushenzi huu mnauvumilia vipi?
  17. Fundi Madirisha

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Pua, pua kabisa. Huu uchafu siyo wa kuchekea kukalia kiti kwa damu za watu
  18. Fundi Madirisha

    Catherine Ruge: Kakoko alinitishia kuniua baada ya kuibua madudu mengi TPA

    Aliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA na Katibu mkuu BAWACHA ndugu Catherine Ruge amedai kwamba wakati akiwa mbunge akifanyia kazi kamati ya PAC alitishiwa kifo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA ndugu Kakoko ambaye alikuja kutumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi na...
  19. Fundi Madirisha

    Huu niseme sijui ni Ushamba wa baadhi ya wanaccm na ACT kuhusu Lissu kukutana na Rais?

    Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo ushamba na kujikweza? Hawa watu hawaelewi kuwa CHADEMA wameanza kusaka suluhu ya maridhiano toka JPM...
Back
Top Bottom