Search results

  1. D

    Wataalam nisaidieni: Umeme wa three phase vs umeme wa single phase

    Je, kuna athari yoyote kufunga umeme wa three phase kwenye nyumba yenye vifaa vya single phase pekee?
  2. D

    Wataalam nisaidieni: Umeme wa three phase vs umeme wa single phase

    Ahsante sana. Kwa hiyo nini tofauti sasa ya kufunga three phase au single phase kwa matumizi ya vifaa hvyo?!
  3. D

    Wataalam nisaidieni: Umeme wa three phase vs umeme wa single phase

    JPM ndiye anayetupa jeuri ya kuuliza maswali kama haya.
  4. D

    Wataalam nisaidieni: Umeme wa three phase vs umeme wa single phase

    Toka zamani tumekuwa tukiona umeme wa majumbani ukifungwa single phase na viwandani ukifungwa wa three phase. Lakini siku hizi hata majumbani watu wanafunga umeme wa three phase tofauti na zamani. Naomba kufahamu tofauti ya matumizi ya huu nyumbani, na umeme wa three phase unaongeza nini katika...
  5. D

    Ikulu, Dar: Rais Magufuli afanya Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya, ateua Wakurugenzi na kuhamisha wengine

    Hahahahahahaha!! Kumbe ndugu yangu una chuki binafsi na Dc wa Iramba so ulikuwa unajificha katika kichaka cha sare za Mwenge wa Uhuru. Kwa taarifa yako, na kwa kukupa pole, Mhe. Rais hafanyi uteuzi au mabadiliko kwa sababu wewe au fukan ana mchukia Dc, Rais ana vigezo vyake na kigezo kikuu ni...
  6. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Karibu saaana na nitatamani niwe mwenyeji wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Hii barabara hata kuwepo haikuwepo Serikali imeitengeneza ni barabara mpya kabisaaaa ambayo inawasaidia wananchi wa Makunda kufika barabara kuu ya Singida Mwanza kwa urahisi zaid bila kuzunguza. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Unataka nisimention Taasisi za Makanisa kwani bila ushirikiano wa karibu na Viongozi wa Serikali hzo Taasisi ziñgekuwepo?! Mbona Wilaya nyingne hazina hizo Taasisi na Iramba zipo ingali makanisa yapo kila Wilaya?! Pamoja na juzi kukutajia machache yaliyofanywa na Serikali leo naomba nikutajie...
  9. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Kama kuna mtu alionewa na hana namba ya Dc njoo dm unipe details zake ili nimsaidie. Tupo makini kuwahudumia wananchi wa Iramba na kuhakikisha wanaishi kwa uhuru, amani na utulivu muda wote. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Ni kijiji gani hicho na ilikuwa mwaka gani?! Kama ilitokea kweli hakuna Kata/Kijiji ambacho hakina namba ya Dc pamoja na namba ya malalamiko waambie wawasilishe malalamiko yao tuyafanyie kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Wajilaumu wenyewe kwa kutokufuatilia shufhuli za maendeleo katika Wilaya yao na badala yake wanakuja kupiga porojo mitandaoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Kituo cha Afya cha Kinampanda na Ndago Serikali imepeleka Milioni mia nne kila kimoja, Nyumba ya Waalimu (6 in 1) New Kiomboi Secondary School, Bweni la Wanafunzi, Barabara ya Makunda to Kyengege just to mention few ni pesa iliyowekwa na Serikali. Nitajie ni Wilaya gani Singida hii yenye miradi...
  13. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Wilaya ya Iramba ina jumla ya vyuo vinne Chuo cha Ualimu Kinampanda, Chuo cha Uuguzi Kiomboi, (Hv vyote ni vyuo vya Serikali) Chuo cha Theolojia Kiomboia (Kilichopo chini ya KKKT) na Chuo cha Ufundi cha Winners (Kilichopo chini ya Kanisa la EAGT) Nitajie ni Wilaya gani katika Mkoa wa Singida...
  14. D

    Hili la DC Iramba kufanya biashara ya vitambaa vya mashati ya Mwenge na kuwalizimisha watumishi wanunue, Nendeni ofisini kwake mkashuhudie.

    Moderator ninaomba haya majibu yangu yapandishwe juu ya huu uzi kwa lengo la kuweka kumbukumbu sawa. Naitwa Dijovison J. Ntangeki ni Afisa Tawala katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Iramba. Awali ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi sio msemaji wa Mkuu wa Wilaya ya Iramba na wala sio msemaji wa...
  15. D

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Ndugu, kama wewe ni mwenyeji pale Udom naamini unafahamu block 9, 10,11 &12 zipo wapi!!
Back
Top Bottom