Search results

  1. Meshe

    Paul Makonda anaivua nguo Serikali

    Kuna usemi wa kikoloni unasema " Do not wash your dirty linen in public" yaani kwa lugha ya madafu ni kuwa usifue nguo zako chafu chafu hadharani. Sasa Mwenyezi yeye anachukua nguo chafu za mamana baba zingine zina madoa sugu alafu anajaribu kuzifua hadharani. Hii ni hatari na nusu!! Au anataka...
  2. Meshe

    Tunaposhangaa misafara ya Makonda tukumbuke Mbowe anatumia Usafiri wa Chopa kwenye mikutano ya Kawaida kabisa!

    Yaani we ndugu unatakiwa uamke usingizini. Wakati katakata ya umeme intufanya mafukara, sukari, petrol, Chakula na kila kitu viko Bei juu mshenji mmoja anazurura nchi nzima akikusanya watumishi wa umma na kuvuruga huduma za jamii kwa gharama kubwa ya misafara ya magari ya serikali. Asichojua ni...
  3. Meshe

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    WATU WASAHAULIFU SANA MMESHASAHAU UNALOZI WA MAREKANI BADO WAMETUNZA ULE USHAIDI WAO WA DHULUMA DHIDI YA UHAI. MSJIZIME DATA JINAI HAIFI
  4. Meshe

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Waulize waliowaalika! Pia walikuwepo KKKT, na taasisi za kidini za kikristo na kiislam. Why unahoji TEC pekee. Au hoja zao zimekuchoma? Acha hizo!!
  5. Meshe

    Dr.Dimwa ataka Katiba ya Zanzibar ibadilishwe Ili Dr Mwinyi atawale vipindi viwili vya miaka Saba badala ya mitano

    Ulevi tu!! Ulevi tu!! Ulevi tu Ulevi tu!! Ulevi tu Ulevi tu!! Ulevi tu!! Ulevi tu Ulevi tu!! Ulevi tu
  6. Meshe

    Nataka kununua Mitsubishi Canter

    Nataka kununua Mitsubishi Canter 2tonne Dump High Deck ya kubeba mchanga, tofali, mawe nk.
  7. Meshe

    Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

    Wewe zako umagawa. Ni rahisi sana kuhukumu kuliko kujitathmini. Alichofanya huyu ni jambo la heri. Mirathi haigawanywi mhusika akiwa hai. Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  8. Meshe

    Matumizi mabaya ya vipaza sauti nyumbà za ibada

    Hivi ni sahihi saa 6 usiku nyumbà ya ibada Iko katikati ya makazi ya watu waumini wako 10 halafu wanatumia vipaza sauti kama wako uwanja wa michezo. Hii sio sawa. Sijui nichukie hatua gani kwani ukiwaambia hawasikii Wala hawajali!! Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  9. Meshe

    Nimejiridhisha kwamba, kelele zisizo haki, hazimzuii Paul Makonda kufika alikompangia Muumba!

    Niko ubalizo wa Marekani hapa kuomba documents!! Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  10. Meshe

    Sasa kwenda Bukoba ni TZS 100K kutoka TZS 65K, LATRA mnafahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wenzenu?

    Mtafanyaje kwa mfano!! Tunawaptintia kofia vitambaa na khanga saa hizi. Myayasahau haya yote mkeshapokea Zawadi. Mtamwona Diamond Platnums buree!! Mtatuchagua tu!! Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  11. Meshe

    ATCL yatengeneza faida ya Bil 1.5

    Kwa maana hiyo wamezalisha ziada ya zaidi ya bilioni 170 ili ku break even then wameanza kupata faida na kilipa Kodi na gawio kwa muda mfupi huu[emoji123] This is too god to be true!! Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  12. Meshe

    Tsh. Bilioni 6.7 zatengwa kufadhili Wanafunzi 640 kwa 100%, ambaye hatafikisha GPA 3.8 ufadhili unasitishwa

    Hizi hela watafute best brains wawapeleke kwenye world class universities tuwe na wasomi wa kidunia. Hapo tutaweza hata kulinda na kutumia vema rasilimali zetu. Tukubali madhaifu yetu tujipangie mikakati ya kujikomboa yuweze kushondana kwa kujiamini. Majirani zetu Rwanda na Kenya, hata Uganda...
  13. Meshe

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

    Spika wa Bunge asitokane na vyama vya siasa. Awe huru ili asilazimike kuwa pro executive!! Wajibu wake uwe kulilinda bunge na wananchi sio Ku rubber-stamp maamuzi ya executive!!
  14. Meshe

    Fatma Karume acharuka na kuhoji; Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

    Bila CCM kupisha tutachelewa sana. Chama kimekuwa dubwsana hata wanachama wenyewe wanaliogopa!! Conflict of interest: Mimi ni mwanachama yangu 1978
  15. Meshe

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Kwani hii IGA inakwenda sambamba na matakwa ya nani? Hivyo unakubali makubaliano hayako sambamba na matakwa ya Tanganyika sio? Huu mkataba umekaa tenge / Hautufai urejewe upya kwa maslahi ya vizazi vijavyo. Waweke 5 yrs renewable kama walivyofanya waungwana wa Zanzibar
  16. Meshe

    Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Sijajua kama chio chetu pale Muhas kina reserved capacity ya kupokea wanafuzi wa ziada kiasi gani. Na Je wamesaini mkataba gani na TZ. Sijui wamepwea hadji ya ukimbizi au ni Sheria gani ya kimataifa imetumika. Au ni mahisiano ya udugu kati ya serikali zetu. Wakongo na Warundi waliokuwa na...
Back
Top Bottom