Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni.
Twende kwenye mada!
Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
Keep Resting in Eternal Peace Alphonce Mawazo
_________________
Ni Takribani Miaka Mitano sasa na Miezi Mitano, Uliandika haya Novemba 2, 2015.. baada ya wiki 2 ukauawa!!
_________________
"Nawezaje kuwa adui wa askari Polisi? Mwalimu, Nesi, askari jeshi wa ngazi ya chini! Siwezi kuwa adui yenu...
"Uchaguzi huu nimeamua kutolalamika, Wahuni tutamalizana nao kihuni haitojalisha cheo alichonacho...Ili Uchaguzi uwe huru na Haki lazima kuheshimu maamuzi ya Wananchi tofauti na hapo ni Uhuni tu, ambao kwangu nikuwa muhuni zaidi ya wahuni wajinga. Mungu ni saidie. AMEN"
Wakuu habarini!
Binafsi nimekuwa mkereketwa sana kila nionapo nyaraka rasmi hususani ya serikali inapokuwa na maandishi haya kwa chini
" Scanned by CamScanner "
Huwa naona nyaraka hiyo inajitolea uthamani wake na hivyo kupunguza au kuondoa kabisa uhalali wake
Wakati nafanya kazi shirika...
Wakuu salaam!
Agosti 12, 2020 ilikuwa ni siku ya Vijana Kimataifa. Tanzania kama ilivyo kwa Nchi zingine kote ulimwenguni iliazimisha siku hii kwa kutambua uwepo wa vijana katika ujenzi wa taifa.
Kwa huzuni kubwa siku hii ya vijana imeazimishwa huku ikishuhudia vijana wengi wa Tanzania wakiwa...
Salaam!
Imekuwa ni desturi ya Watu wengi kulalamika kuwa kukosa Elimu ya darasani kumewafanya kushindwa kufikia mafanikio fulani fulani hususani ya kiuchumi.
Kwa upande wangu sioni mantiki ya kukwamishwa kuendelea kiuchumi kisa elimu ya kuta nne.
Hebu kwanza tujiulize ni nini kinamfanya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.