Search results

  1. K

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Kwani akifungwa Lulu ndo mwanae anarudi? Kwanza issue yao olikua imekaa kimahaba sana hivyo sidhan kama kulikua kuna kusudio la kuua bali ilitokea bahati mbaya
  2. K

    Waliowahi kufundishwa na Rais Magufuli enzi za kufundisha kwake

    Na me boss wangu amesoma na huyu jamaa huko Mkwawa TTC. I reserve my comments abt tabia
  3. K

    UKATA: Kampuni ya Maxcom Africa yatangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wake kutokana na kupungua kwa mapato

    Submission hii imeshiba nondo za kutosha asiyeelewa arudie kusoma na ajitafakari
  4. K

    Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

    Mpaka atakuelewa tu
  5. K

    Waliomkosoa Rais Magufuli kwa kuchelewa kumpongeza Uhuru Kenyatta, wataka ardhi ipasuke

    Kenya imeonyesha mfano wa kuigwa dunia nzima Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Muda mwingine najiuliza kilichoifanya serikali ikae kimya mpaka Lissu aseme haya ni nini. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

    Kilichosababishwa kuvunjwa kwa mkataba ni nini!? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Ila kama katika hili wapinzani wamehusika kuichongea serikali ili ndege yake ikamatwe na wadeni wamekosea sana. Nchi hii ni yetu sote, serikali ikidaiwa kodi zetu ndo zinadaiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Baraza la Maaskofu Katoliki kuhamia Dodoma

    Kwani makao makuu yakibaki dar inakuwaje Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Bunge lashindwa kutoa adhabu kwa Nassari

    Alifanya kosa gani
  11. K

    Wananchi waomba Bunge kumuongezea muda Rais Magufuli madarakani

    Ili iweje, tusikili udhaifu maana wapo watu wengi wanaoweza kufanya anachofanya bwana mkulu sema hawapewi nafasi
  12. K

    Tetesi: Acacia keleta Askari Wazungu/Mamluki

    Tungoje tuone mwisho wa haya ni nini
  13. K

    Kuna nini Tigo???

    Me nakelwa na tatizo la Internet wakati kifurushi kipo ila siwezi ku download video wala kufungua email
  14. K

    Anachokitetea Lissu kwenye mchanga ndio kinachotokea IPTL

    Tundu lissu asidhalaulike pamoja na kwamba ni mpinzani kuna masuala inabidi tujifunze kutoka hata kwa maafui zetu kama yanaweza kutusaidia kujikwamua hapa tulipokwama
  15. K

    Msaada wa Kisheria

    Kwanza ni nani msimamizi wa mirathi ya baba yako? Pili hiyo salary slip inaonyesha alikua akichangia mfuko gani na alikua amefikisha shingapi kwenye huo mfuko?
  16. K

    Msaada wa Kisheria

    Pole sana. Huyo anatakiwa issue yake ni kufuata utarabitu wa sheria za kazi kwa watumishi wa umma ambapo atakwenda ngazi kwa ngazi mpaka kwa raisi kama suala lake lisipotatuliwa na watumishi wa ngaz za chini
  17. K

    Anna Mghwira apinga kuondolewa uenyekiti ACT Wazalendo

    Yetu macho[emoji3] [emoji3]
  18. K

    Wawekezaji wa Kichina Wanavyochoma Mishikaki Tanzania

    Kuchoma mishikaki ndo kiwanda gani sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  19. K

    Wawekezaji wa Kichina Wanavyochoma Mishikaki Tanzania

    Hili kweli ni tatizo naona hili jipu lunahitaji utumbuaji. Sasa huu ni uwekezaji gani
Back
Top Bottom