Search results

  1. MaxAyo

    Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?

    Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?
  2. MaxAyo

    Chukua MIC na utume Salamu

    Nimepokea Salamu! Kwako pia
  3. MaxAyo

    Brand new single by Angel Benard - Shujaa

    "Wimbo mmoja kila wiki kwa wiki 10!" kupitia Mkito.com Huu ni wimbo wa pili kutoka album mpya NEW DAY kutoka kwa Angel Benard - wimbo unaitwa SHUJAA. SHUJAA. Kuna wakati katika maisha tunakutana na mambo magumu na hakuna wa kukutia moyo, kwa sababu wengi waliotuzunguka ni watu ambao mara...
  4. MaxAyo

    Gospel Singer Angel Benard

    Katika kuhakikisha Angel Benard anafikia watu wengi. Nimefanikisha kukamilisha website yake na profiles za social networks zingine. Tafadhali mnawea kumpata moja kwa moja kupitia hizi links. www.angelbenard.com www.facebook.com/OfficialAngelBenard www.instagram.com/angelbenardofficial...
  5. MaxAyo

    Gospel Singer Angel Benard

  6. MaxAyo

    Gospel Singer Angel Benard

    Unaweza kupata wimbo wa reign on me hapa kwa kupitia mkito
  7. MaxAyo

    Gospel Singer Angel Benard

    ANGEL BENARD ni jina ambalo limekuwa likisikika kwa miaka kadhaa sasa kwenye ulimwengu wa muziki wa gospel. Angel Benard mwenye miaka 25 hatimaye sasa anaachia album yake NEW DAY kwenye mfumo wa digitali kupitia www.mkito.com. Watu wengi wamekuwa wakisubiri kusikia nyimbo zake za zamani lakini...
  8. MaxAyo

    BlackBerry phone continues to struggle in the US

    lakini bado utaona wabongo wanajisifu.. nipo bbm
  9. MaxAyo

    Jinsi nilivyokamata laptop yangu(31-Dec-2012) iliyoibiwa November

    Wazo zuri pia , ila ujue kuna 10% za kupeleka kila mahali. Kuanzia kwa fundi aliyefanikisha mchakato.
  10. MaxAyo

    Nafasi ya 7 duniani

    naona hata na wewe ni ajabu la dunia
  11. MaxAyo

    maujanja ya kupata whatsapp kwenye iphone plss

    whatsapp sio bure kwa simu yoyote.. kwa kutumia iphone unalipia 5$ namba yako inakuwa active forever, kwa device zingine unatumia bure maka mmoja then kila mwaka utakuwa unalipia 1$. Wanalipisha kwa.hiyo inakuwa haina advertisements
  12. MaxAyo

    Bei ya android za tigo..pamoja na ku flash

    Ideos ni 120,000 used za kutoka nairobi-Safaricom hapa arusha Hapa
  13. MaxAyo

    firefox os, operating system mpya ya simu mkombozi wetu

    nimependa hii, nitaiweka kwenye nokia n900.
  14. MaxAyo

    Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

    Hii ni habari ya kukata na shoka
  15. MaxAyo

    Ramani ya Nyumba

    akuwekee
  16. MaxAyo

    Hali ya vyoo Dar es salaam Institute of Technology (D.I.T) ni mbaya.

    Karibuni Arusha Technical College, maji ya kutosha, vyoo visafi na idadi sahihi ya wanafunzi. Ndio chuo bora cha ufundi kilichobaki Tanzania
  17. MaxAyo

    Brightness control Siioni kwenye laptop

    press windows key na X, utaona controls za brightness na vitu vingine kama wi-fi etc
Back
Top Bottom