Search results

  1. Civilian Coin

    Natambulisha track yangu mpya kwa Wana JF

    The Video song: WHO AM I? is out now, you may watch it now.
  2. Civilian Coin

    Modernist stage from DJ. Don Nalimison to Civilian Coin

    Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa. Nchini Marekani mwanamuziki Sean Comb maarufu Kama Diddy alifanya mabadiliko Mara nyingi mpaka akawa...
  3. Civilian Coin

    Nyumba iliyojengwa Lushoto (Tanga) kwa ajili ya DJ. Don Nalimison iuzwe au wapewe CHADEMA kuwa Ofisi yao

    NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine. Unanijengea NYUMBA huku hati haina...
  4. Civilian Coin

    Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

    Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
  5. Civilian Coin

    Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

    Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
  6. Civilian Coin

    From now onwards, I, DJ. DON NALIMISON deny to marry to Barack Obama daughters coz of internal maturity reasons

    DJ. DON NALIMISON: I WILL NOT MARRY ANY OBAMA'S DAUGHTERS BECAUSE THE TIME I WAS PLANNING IN 2016 BECOME TOO LATE TO A TIME BEING. In a year 2016 God showed me in vision to get marry with Sasha Obama, I announce to the World through my Facebook account to Marry Sasha Obama with the body which I...
  7. Civilian Coin

    Waraka maalum kwa Prodyuza DONCHA na Maprodyuza wote Tanzania ili kuboresha Muziki wa Tanzania

    WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA. NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON) Producer DONCHA nilimfahamu kupitia Gabriel Samalu(Mlapa) wa Global Publisher mwaka 2014 nanikafanya Albam yangu...
  8. Civilian Coin

    Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

    Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
  9. Civilian Coin

    UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  10. Civilian Coin

    Yah. Kuiua na kuifuta katika kazi zangu kampuni yangu ya Musicpress

    YAH. KUIUA NA KUIFUTA KATIKA KAZI ZANGU KAMPUNI YANGU YA MUSICPRESS Nimefuta(edit) na kuondoa kabisa logo na jina MUSICPRESS katika Nyimbo zangu zote audio na video na pia nimefuta na kuondoa MUSICPRESS kwenye movie yangu ya BOMBATTACK. Kampuni hii nilikuwa bado sijaisajili lakini Kuna Matapeli...
  11. Civilian Coin

    Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  12. Civilian Coin

    Nimefanya mabadiliko You Tube channel zangu zote.

    NYIMBO ZOTE ZILIZOKO "YOU TUBE" kwenye account ya (MusicPress) ni Production zangu mwenyewe za Video kwa mikono yangu pia Nyimbo zote kwenye account yangu You Tube (DJ. Don Nalimison) nimegonga bit mwenyewe na kuprodyuzi video mwenyewe kwa mikono yangu. Ambazo si kazi za mikono yangu...
  13. Civilian Coin

    Sitashiriki shughuli yoyote ya Kisiasa Wala kuchangia mjadala wowote wa kisiasa

    Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga...
  14. Civilian Coin

    Nyumba za kujengewa huwa zina mazingaombwe ni bora ukapewa Pesa/Hundi Mbele ya Wanahabari na ukajenga mwenyewe

    Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza kumpinga akafukuzwa kwenye nyumba hiyo, mwaka 2004 nikiwa Dar es Salaam nilishuhudia Mkuu wa idara ya...
  15. Civilian Coin

    Who is DJ Don Nalimison in music and journalism platforms

    DON NALIMISON NALIMI (born June 28, 1980), known professionally as DJ. DON NALIMISON, is rapper, RnB singer, songwriter, and record producer. Born and raised in KAHAMA, TANZANIA, EAST AFRICA, his biological father is an American Citizen by birth and his biological Mother is Tanzanian citizen by...
Back
Top Bottom