Search results

  1. lyenyi

    Nahitaji fundi incubator.

    Wakuuu nahitaji sana fundi wa kutengeneza mashine ya kutotoleshea mayai, incubator, location awe Iringa, njombe,
  2. lyenyi

    Ananiomba nijifanye mimi ndiye niliyempa ujauzito

    Wakuu habari! Katika hali isiyo ya KAWAIDA Kuna dada ambaye tunafahamiana lakini sio wapenzi kabisa, na hatujawahi kuwa wapenzi. Huyu dada juzi amenifuata na KUJIELEZA kuwa alikuwa na mahusiano na mtu lakini hakujua kuwa ni Mme wa mtu hadi hivi karibuni ndio amejua. Hivyo anaomba Mimi...
  3. lyenyi

    Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

    Kwanza nashukuru MUNGU, Kwa kutuweka hai, Napenda kuchukua fursa hii, kuwatakia kheri, ya Christmas na mwaka mpya finacial sevises mshanajr jiwejr mawardat Zero IQ Moderator Na member wengine wote,nawatakia sherehe njema!!!!! MTAKIE KHERI MWANA JF YEYOTE UNAYEMKUBALI. Sent from my...
  4. lyenyi

    NITUKIO GANI LIMEWAHI KUKUTOKEA NA KUKUTISHA SANA MAISHANI MWAKO?

    Salamu wana jukwaaa! Katika maisha yetu kuna mambo, ama visa tunakutana navyo ambavyo sio vya kawaida, kwa namna moja au nyingine vinachanya sana! Siku moja nilimtembelea ndugu yangu huko kijijini kwetu, basi baada ya muda nikaaga nakuondoka, lakini nikiwa naondoka aliniitia kijana wake ili...
  5. lyenyi

    INAUZWA Mashine ya kuchongea thread za bomba za maji safi na taka

    Habari natafta mashine ya kuchongea thread za bomba, inayoishia inch nne. 4" Unaweza nielekeza duka, au kama unayo waweza kuja pm. Mfano wa hizo mashine ni hizo pichani
Back
Top Bottom