Search results

  1. GODSON KITOMARY

    SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  2. GODSON KITOMARY

    SoC02 Elimu iwe ufunguo wa kweli wa maisha

    EDUCATION IS KEY OF LIFE ______________ Godson Kitomary Tunapozungumzia swala la "ELIMU" Kuwa "UFUNGUO" Wa maisha tunazungumza kijana kuweza kujitegemea mwenyewe na kusimama katika harakati za kupata "MAFANIKIO" Tunaweza kukaa na kulaumu "SERIKALI" Kuwa "ELIMU" Wanayotupatia haiendani na...
  3. GODSON KITOMARY

    Kama kisu kinavyonolewa ili kiwe kikali, lazima nasi tuunoe Ubongo kwa vitabu

    Godson kitomary Pichani ni kitabu cha "COLENEL GADAFFI" Kinachoitwa "THE GREEN BOOK" Na ndani yake kina mambo matatu kama ifuatavyo: 1. Jinsi ya kutatua matatizo yatokanayo na demokrasia 2. Kutatua matatizo ya kiuchumi 3. Misingi ya kijamaa na nadharia ya mataifa yanayoendelea. Ndicho kitabu...
  4. GODSON KITOMARY

    Kwanini vijana wengi hawapendi kusoma vitabu?

    Tufanye nini ili kuhakikisha haswa vijana na watoto wapende kusoma vitabu mbalimbali ili kupanua uwezo wao wa kufikiri
Back
Top Bottom