Search results

  1. Judgement

    Mungu wangu! Hakika na mbinu hii, inawaongezea wapinzani!

    Mpende msipende CCM nawanyooshea kidole, kwamba mbinu hii ya kumonitor media kwa dhamira ya kuminya vuguvugu la UKAWA kusambaa ltawagharimu. Tofauti kabisa na mfikiriavyo, leo Mwanza UKAWA wamefanya mkutano wa kihistoria. TBC chombo cha Taifa, katika taarifa yake ya habari ya saa 5 usiku...
  2. Judgement

    CCM, mbinu hii imepitwa na muda - Yah, Maandamano ya Vijana Mwanza

    Nithubutu kusema huu utakua ni Ujinga uliokubuhu! Kwa wale mliotazama taarifa ya habari Azam (Two) inayoendelea hadi hivi ninavyoandika . Katika taarifa hiyo pameripotiwa habaripicha zikionesha eti vijana wa Chadema , wakiandamana hadi ofisi za Chadema , sambamba na kubeba mabango ya...
  3. Judgement

    Katika vipengele 25 alivyojinadi Magufuli kuanza navyo UMEME haupo !

    Katika hali isiyo tegemewa katika hotuba ya Mh. Makomeo jana Jangwani , kuorodhesha vipengele 25 , atakavyoanza kuvishughulikia pasipo tatizo la umeme kuligusia . Yamkini ni wana wa nchi chungutele hata hilo tukio lao la ufunguzi wa kampeni hatukuliona live , kwa kutokua na power ...
  4. Judgement

    Ukimtukana Mama wa mtu, umeruhusu na Mamio atukanwe!

    Hili halina ubishi ! Kwa mfano huohuo ndivyo ambavyo ukianza kumtukana mtu , kwa kumwita MPUMBAVU , LOFA hakuna shaka nawe umewasha taa ya kijani utukanwe ! Hususa pale utakapo watukana viongozi wenye wafuasi lukuki ! Impact ama mrejesho wake , utakurejea toka kwa viongozi na wafuasi wao ...
  5. Judgement

    Wanaofahamu hili naomba msaada wa haraka

    Nimeanza kutumia king'amuzi cha Azam huu sasa ni mwezi wa pili . Kwa miezi yote hiyo nimekua naweka kifurushi cha Tsh 12,000 . Sasa kufuatia nipate kuona Ligi ya Spain (laliga) nalazimika niweke kifurushi cha Tsh 15,000 . Kwakua nimetoka kuweka kifurushi cha elfu 12 tr 14 Aug , ndiyo...
  6. Judgement

    Wanaume wameshathibitishwa na Tume !

    Dakika zipatazo kama 10 hivi zilizopita , WANAUME wa shoka ndiyo wametoka ofisini kwa Lubuva . Wakiwa na ithibati kamili kua sasa ndiyo wagombea rasmi wa nafasi ya Urais & Makamu Rais kupitia UKAWA . Edward Ngoyayi Lowassa , Juma Hajji Duni , wakisindikizwa na Freeman Aikaeli Mbowe , Maalim...
  7. Judgement

    Ruge ulipaswa useme hili umalize mzizi wa fitna!

    Kufuatia speculation ziendeleazo kuzagaa mitandaoni na mediani , kwamba Mkurugenzi wa Clouds Mr Ruge anawashinikiza wasanii wavoti CCM. Kupitia kipindi cha Jahazi tr 19 Aug (jana) tumekusikia ukikanusha a certain allegation . Sikushibishwa sana na the way ulivyojitetea ! Anyway wewe ni...
  8. Judgement

    Naweza nunua Nyumba/kiwanja Kenya au Uganda?

    Mimi ni raia wa Tanzania (raia wa kawaida), shughuli yangu ni biashara . Kwakuwa shughuli zangu zinanifanya mara kwa mara niwe nakwenda nchi tajwa hapo juu, nimejikuta nashawishika kununua nyumba/ kiwanja katika nchi hizo. Ninachotaka ni kuelimishwa; kuna utaratibu wowote unaoweza kuninyima...
  9. Judgement

    Yajue maneno yaongozayo hivi sasa

    Kufuatia upembuzi , uchunguzi mahsusi na yakinifu , imethibitika kua maneno haya matatu (3) yanatajwa takriban mara kadhaa katika kaya za watanzania hivi sasa . Neno linaloongoza kutajwa sana ktk hayo matatu ni ; LOWASSA . Likufuatiwa na neno ; HUWOOO (Pale umeme uliokatika umerudi )...
  10. Judgement

    Kutoka Cheo cha kuwa RPC hadi kuwa DC

    Kufuatia ruzuku ya mgao wa vyeo vya ma-DC , vilivyotolewa hivi majuzi na Baba mwenye kaya . Aliyekua RPC mkoani Dodoma na baadae Mwanza na kisha kustaafu akiwa Kamishna makao makuu D'salaam Bw. Zelothe Stephen , ameruzukiwa u-DC Musoma . Kimtazamo wangu sioni kama inanipa Afya ya akili ...
  11. Judgement

    Wake zetu mpewapo lift msitafute mengineyo

    Lift sio lazima iwe ya gari,au kupandia ghorofa,mke rafiki , Jjrani akikuomba simu yako atume message nayo ni lift Mlengwa hapa ni mke. Mkeo anakuomba lift , then anaanza kupiga na honi.Honi hapa ni hawa wake zetu, kabla hajatuma message ukishampa simu , anaanzia "sent items" . Wosia wangu...
  12. Judgement

    Hivi ndivyo inavyotakiwa viongozi kutumia Lugha ?

    Muda huu NTV ya Kenya inaonesha live sherehe za wanafunzi , waliodhaminiwa gharama zao za masomo na kupewa scholarship , kupitia Equity Bank , na baadhi ya Serikali za nchi mbalimbali tajiri duniani . Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Mkuu wa nchi . Baadhi ya mawaziri wa Kenya...
  13. Judgement

    Nimeona kitu nadra cha TANZANIA , kukiona UINGEREZA !

    Kama kisomavyo kichwa hapo juu . Mapema leo nikiangalia game , baina ya Liverpool Vs Sunderland , nimebahatika kuona kitu kihusucho Tanzania . Ni nadra ! Na si kawaida kupata kukiona kitu hicho , kwa nchi kama England. Hata hivyo sioni sababu ya kupoteza wakati wangu nikilete hapa ...
  14. Judgement

    Hivi ni kwa nini inakuwa hivi husussan siku za ......

    Za sikukuu kama ya leo au siku za Eidd zote mbili , UGALI unakuwa unmarketable ? Ugali unakosa soko kabisaa! Ugali unaonekana adhabu ! Ugali hauna thamani ! Ukiwaondoa waumwao visukari kwa waliobaki , ukiwaalika leo , na ukawakirimu Ugali wanaweza wasikubali mualiko wako forever ! Ugali...
  15. Judgement

    TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    Kwa taarifa niliyoipata muda huu toka Clouds Fm. Amefikishwa Mwananyamala Hosp, akiwa tayari keshapinda.
  16. Judgement

    Kuna ubaya gani mwanangu kumpa jina hili Escrow?

    Mke wangu amejifungua jana baby gal . Nimeombwa na Mamaake nimpe jina , nimempa jina escrow . Hoja , kuna tatizo kumpa jina hili ?
  17. Judgement

    Matokeo ya shule iliyoongoza kitaifa darasa la 7! Ndiyo imeshinda! Lakini?

    Neno "mysterious" kwangu mie ktk issue kama hizi ndipo huchukua maada . Distrust or lack of sureness of an alleged fact haiepukiki katika maumbile yetu binadamu . Hebu fuatana nami mguu kwa mguu tuperuzi mafanikio ya shule husika 2014. Twibhoki primary school , inayopatikana wilaya ya...
  18. Judgement

    Haka ka'ugonjwa ni kwa wanawake wote au wangu tu?

    Wadau wenza, wanaume wenzangu . Mke wangu mie haka ka'ugonjwa kamesha muathiri, kiasi naona tiba imeshindikana! Ugonjwa wake: Akienda na Mswaki bafuni/chooni ataucha hukohuko. Akifungua chupa ama kasha/mkebe chochote kihusucho mfuniko , ujue akimaliza hakumbuki tena kufunga ! Hata iwe...
  19. Judgement

    Hivi ninyi Watanzania kwani nanyi ni Wazungu?

    Nawashangaa sana waTZ ! Kukicha mnatoa mikelele ya kukosa umeme . Nichukue fursa hii kuwaambieni ;- > Umeme wa mgao. > Umeme wa mashaka . > Umeme usiokua na dhamana. Ndiyo stahili yenu , na ndiyo haki yenu. Huo umeme muuliliao kila kukicha ;- > Umeme wa uhakika. > Umeme ukatikao kwa...
  20. Judgement

    Hiki akifanyacho Jonathan kina busara?

    Wana wa bodi habari zenu . Hivi karibuni Baba wa kaya kule Nigeria Bw. Goodluck Jonathan with his regimes wameomba peace talks na Boko Haram . Chagizo chocheo la kupelekea legal Government kuomba mazungumzo ni wale wadada 200 waliotekwa na vijana wa Abubakar Shekau. Navyojua mimi Boko...
Back
Top Bottom