Search results

  1. Judgement

    Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

    Na kweli mi sijawahi ona
  2. Judgement

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Awamu zote 4 za nyuma zingekua kama hii zamani mi ningeshaomba urai wa nchi nyingine
  3. Judgement

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Ridhwani ! Ridhwani ! Everything Riz ! Tubadilishieni mwimbo mwengine mpya huo tushauchoka !
  4. Judgement

    Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    Mtamfafuta mchawi wa hii sakata msimpate! Hapa shida Bw Diisii ni ganja ! "cha Kyela" Ni mziki mnene! Na hasa ukiwela maganja mabichi !
  5. Judgement

    UTAFITI: Asilimia 80% ya wanawake wanaovaa suruali ni miguu fito/tooth picks

    Kwani we unataka Punda au mlio? Means unataka maku au mguu ?
  6. Judgement

    Je ni sahihi kwa CHADEMA kutumia zaidi ya shilingi milioni 400 kwenye Msiba wa Alphonce Mawazo?

    Kwa waletamada kama huyu , ndiyo maana wakati flani tulishauri , Jf's Administration kua moja ya vigezo vya kuqualify Jf's member iwe sanjari na kupimwa akili .
  7. Judgement

    Maoni yangu: Usitumie M-Pesa kutuma fedha Tanzania

    Sasa tukimbilie wapi ? Kwakua hata mimi nilituma pesa kupitia Moneygram , pesa ilichukua wiki 2 , instead of siku 1, sababu ya msingi la chelewesho nilipouliza nikaambiwa zinafanyiwa investigation kama mtumaji na mpokeaji sio Alqaeda , Alshabab ect
  8. Judgement

    Kwa wasio mfahamu Mke wangu Charty ndio huyu hapa

    Mi No yake nilikuaga nayo sijui nimiimisiplesi wapi ! Hebu nitumie kwa pm
  9. Judgement

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Allways njia ya muongo haiwi ndefu ! Umedai video (clip) zimesambaa kwenye social netwk , tuwekee basi hiyo clip basi ! Btw kuna kila dalili hapa hiko ukisemacho hakipo!
  10. Judgement

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Afadhali hawa wanaowashwa na maendeleo ! Kulikoni wewe unaejidhihirisha UNAVURUGWA na Makomeo ambaye ni confirm ana Low vision .
  11. Judgement

    CCM lazima iteleze kati ya haya matatu

    Usiwape matumaini hewa! Hakuna ubaya kuwapa ukweli , kwamba mwaka huu hawatoki ! Ni mtelezo uliyokamilika .
  12. Judgement

    ITV hamjawatendea haki watanzania mkutano wa CHADEMA Mwanza

    Mh . Rutta hiki ulichokieleza hapa hakiko sahihi . Sanasana umejibu kiushabiki wa chama chako ! Ni kama majibu ya Nape . Katika Legal Broadcastin Regulation kuhusu Rates Charges of Tv Live Coverage , hakuna kitu Distance charges . Kinachotozwa ni Time au venue situated . Coverage ya...
  13. Judgement

    Mungu wangu! Hakika na mbinu hii, inawaongezea wapinzani!

    Mpende msipende CCM nawanyooshea kidole, kwamba mbinu hii ya kumonitor media kwa dhamira ya kuminya vuguvugu la UKAWA kusambaa ltawagharimu. Tofauti kabisa na mfikiriavyo, leo Mwanza UKAWA wamefanya mkutano wa kihistoria. TBC chombo cha Taifa, katika taarifa yake ya habari ya saa 5 usiku...
  14. Judgement

    Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

    Mletamada kama pangekua na selection ya Thrade bora ya mwezi , basi hii ya kwako ningeipendekeza! Points zako ziko openly , maudhui yanaeleweka , ukweli wa ulichokisema unaonekana ! Usiwe dissapointed na hii mijitu mipuuzi iliyoshikiwa akili .
  15. Judgement

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    Mletamada , afadhali yako wewe anakuchefua tu, mimi ananitapisha!
  16. Judgement

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    Acha upuuzi wewe baradhuli , hapa wanaume tunazungumzia mustaqbali wa nchi . Ukosapo cha kuandika kafanye shughuli nyingine . Wawezatumia mda wako hata kupunguza mchicha mwilini mwako , badala ya kuufuga !
  17. Judgement

    Kingunge, wewe ndio umeishiwa pumzi sio CCM

    Wewe mletamada wala hakuna ubishi , kwamba ndiyo una hali mbaya kuzidi chama chako unacho kidifence . Ccm imeishiwa pumzi , wewe umeishiwa pumzi na akili . Umepoteza wakati kuandika utumbo mrefu , usio na kichwa wala kiuno . Both , you and your party days are numbered !
  18. Judgement

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Na hii pia nadhani aulizwe Edo ! maanake inaonekana kipindi hiki chote , ajali anazisababisha yeye!
Back
Top Bottom