Search results

  1. Kayombo Tips

    Bodi ya Mikopo mna shida gani maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao?

    Ni zaidi ya wiki tatu sasa natuma maombi ya mikopo kwenye bodi ya mikopo kwa njia ya mtandao. Lakini muda wote ninaotuma maombi hayo matatizo mawili yanajitokeza. Tatizo la kwanza napata ujumbe huu "A User With Tha UserName Already Exists". Napata ujumbe huu baada ya kulipia gharama za maombi...
  2. Kayombo Tips

    January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba, kama mna ndoto za kuja kuwa Marais kwenye Nchi hii basi futeni hizo ndoto

    Vijana mmeaminiwa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kwa kupewa uwaziri lakini mnachokifanya kwenye wizara zenu ni madudu tu. Hamjaonesha kuwa mko competent kuweza kugombea nafasi ya Urais hapo mbeleni. Mwigulu Nchemba umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi badala yake umeweka tozo...
  3. Kayombo Tips

    Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  4. Kayombo Tips

    Barua ya wazi kwa Waziri January Makamba; Tuliamini utaleta mapinduzi kwenye sekta ya NISHATI, lakini matarajio yetu yanapotea

    Wakati tunapokea taarifa za uteuzi wa Uwaziri wako bwana January Makamba, watu wengi tuliamini kuwa wewe ndiye utakaye leta mageuzi makubwa sana kwenye Wizara yako. Lakini nasikitika kuona kuwa matarajio tuliyo kuwa nayo kwako yamepotea. Ulipoteuliwa tu na kuapishwa ulionesha mwelekeo kwamba...
  5. Kayombo Tips

    SoC01 Umuhimu wa kujali afya na mtu kuwa na afya

    Mwishoni mwa mwaka 2019 ndiyo kipindi ambacho habari za kuwepo kwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya korona yaani UVIKO-19, kwa kiingereza COVID-19 zilianza kuripotiwa na kuenea duniani. Nilipokuwa nasikia taarifa hizo nilikuwa nachukulia kawaida tu. Kwamba ugonjwa huo utaishia Nchini China...
  6. Kayombo Tips

    Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  7. Kayombo Tips

    TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
Back
Top Bottom