Search results

  1. Kapyepye Mfyambuzi

    Nguvu ya matamko (Neno): Jiponye mwenyewe

    NGUVU YA MATAMKO. (Neno) Siri ya Uponyaji. Angalizo. Uzi huu sio wa kidini isipokuwa nitadokoa tu baadhi ya vifungu kidogo kwenye baadhi ya maandiko matakatifu kujazia jazia nyama ili nieleweke vyema. Ukiijua siri hii hauta hangaika kamwe, utabakia tu ukiwashangaa watu wanaokimbilia kwa...
  2. Kapyepye Mfyambuzi

    Time Travel Kwenye Ndoto

    (It's true my self) Habari wakuu, Husikeni na mada tajwa hapo juu. Baada ya kuamka muda huu nimeona sio vibaya Ku share nanyi ndoto yangu. Najua humu Tuna wasomi na wataalamu wa mambo mbalimbali. Naomba mchango wa mawazo / maono/ Tafsiri zenu juu ya ndoto yangu hii. Niende mmoja kwa moja...
  3. Kapyepye Mfyambuzi

    Makanisa ya kinabii na vifaa vya kiroho

    Habari wadau? Bila ya kupoteza wakati Naomba twende moja kwà moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu. Manabii Wa sasa Ku promote Mafuta, Maji, Chumvi, Leso (vitambaa) na Sticker (zenye picha zao Sio za Yesu) na kuhubiri Utajiri, Mali na Mafanikio Sio Injili/ Neno la Kristo, huku wakikazia...
  4. Kapyepye Mfyambuzi

    Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

    Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani? Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya...
  5. Kapyepye Mfyambuzi

    Tupia jina kwa kumtag mkali wako na jina la thread yake iliyokuvutia mpaka ukajiunga rasmi na JF

    Habari wadau? Husikeni na kichwa cha thread apo juu. Tuliomo humu wengi wetu au baadhi yetu hatukuwa kabisa na mpango wa kujiunga rasmi na JF ijapokuwa tulikuwa hatuifahamu au tunaifahamu na tulikuwa hatuna mpango nayo isipokuwa kuna thread ulikutananayo huko google ndio ikakuleta hadi humu JF...
  6. Kapyepye Mfyambuzi

    Mtu na shemeji yake wanapoangalia Filamu ya Ngono...

    Kwema Wakuu? Jamaa yangu amenipigia simu anasema amechanganyikiwa na haamini macho yake juu ya aliyoyakuta home kwake na hajui afanyeje. Anasema alikuwa anarudi home kutoka job amemkuta mkewe na dogo, Yaani mdogo wake wa toka nitoke akiwa sebuleni wanaangalia Mkanda wa X. Anasema alipofika...
  7. Kapyepye Mfyambuzi

    Ushauri- ndoa inataka kuvunjika huku

    Habari wakuu? Nina rafiki yangu ambaye ameoa mwaka Jana. Sasa ameniomba ushauri nimeona nije niwashirikishe na nyie ili tuone jinsi ya kumshauri kijana mwenzetu. Wakati anakutana na huyo mchumba wake ambaye Sasa hivi ni mke wake, kabla ya kumuoa alimkuta anaishi yeye pamoja na mdogo wake...
  8. Kapyepye Mfyambuzi

    Kuona matukio ya kweli ukiwa umelala na kupiga kelele inatokana na nini?

    Habari wakuu. Rejeeni kichwa Cha habari hapo juu. Naomba msaada wenu kwa wajuzi wa haya makitu maana Mimi nashindwa hata kuelewa. Usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa 8 kuendea saa 9 nilishtuka usingizini nikiwa kwenye ile hali ya kuwa hata kujitikisa siwez Ila nipo macho japokuwa macho...
  9. Kapyepye Mfyambuzi

    Lucid Dreaming Inaweza kukupatia majibu ya kweli juu ya like unachohitaji kufahamu?

    Habari wakuu? Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali zinazoielezea Lucid dreaming. Zinaelezea ya kwamba lucid dreaming ni kwaajili ya kujifurahisha tu na vilevile unaweza ukajifunza hata baadhi ya mambo kama vile kusoma vitabu, lugha za...
Back
Top Bottom