Search results

  1. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kuna kaukweli fulani hapo. Ila sijui kwanini kwa idadi yao kubwa pamoja na uzuri waliobarikiwa nao huwa hawadumu au kuolewa na waliowazalisha!
  2. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kama kwenye Maisha yako haujawahi kurogwa mshukuru sana Mungu.
  3. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mtu akihonga nyumba au gari usimcheke
  4. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Usikute hapo kuna baharia anatamani angewai kufika kwanza peke yake, eneo la tukio
  6. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wanachoma mgodi wa Tanzanite. Mali yenyewe kabisa hiyo.
  7. Kapyepye Mfyambuzi

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo kazi ni ngumu jamani
  8. Kapyepye Mfyambuzi

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Ni kweli mku, Kuna wengine Wana Elimu kubwa lakini hazina msaada wowote kwa jamii. Inataka uwe na Moyo wa kutoa. Watu kama Mshana Jr Mungu huwapa zaidi kwa njia anazozijua yeye mwenyewe kwakua wana Moyo wa kutoa kwa wengine kile walichojaaliwa. Unaweza usimpe mtu pesa lakini ukampa elimu/...
  9. Kapyepye Mfyambuzi

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Kuna Mzee mmoja Mimi namwita Anko alikuja nyumbani, akaniwekea mkono kichwani, nimepata nafuu. Lakini baada ya yeye kuondoka tu Kuna mtu wake wa karibu kanitonya kua yule Mzee siyo mtu mzuri. Alishaga muwekea ndugu yake mkono kichwani akapata nafuu kwa muda usiku ulipoingia akazidiwa akapata...
  10. Kapyepye Mfyambuzi

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Mkuu Mshana Jr Je, chumvi ina uwezo wa kuirudisha au kuiokoa Nafsi na Nyota ya mtu (ambae bado yupo hai) ambayo imeshaibiwa kishirikina? (yaani bado hajafa ila wamemtegeshea mitego kichawi ili afe wamchukue msukule)
  11. Kapyepye Mfyambuzi

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Chumvi kumbe inawezekana na kuilalia? Na Je, nikiinywa kwa maji ya moto itanisaidia kuondoa tatizo la kusisimkwa mwili na kitu kilichokaa kwenye kifua? (Kama kisoda flani hv, japo kwa muda hua kinapotea) Mshana Jr
  12. Kapyepye Mfyambuzi

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

    Mkuu Crocodiletooth tupe basi hayo maneno ya kilatini na wengine tujifunze tupate faida kama alivyofanya Mshana Jr kutoa elimu kwa wote
  13. Kapyepye Mfyambuzi

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

    Habari Mkuu Mshana Jr . Kwanza natanguliza shukrani [emoji120], Mimi ni mtu ninayesumbuliwa sana na kusisimkwa sana ubavu wangu wa upande wa kushoto hadi kichwani, midomo kucheza, nimeshahangaika sana kwenye swala la tiba bila mafanikio. Mganga anatibu baada ya wiki au siku 4 tatizo linarudi...
  14. Kapyepye Mfyambuzi

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

    Habari mkuu Mshana Jr eti chumvi inaweza kumsaidia hata mtu alietupiwa uchawi, vichomi (Sihri) akapona, au haina uwezo wa kumsaidia jambo hilo?
  15. Kapyepye Mfyambuzi

    Mchepuko anatishia nisipomhudumia nitasaidiwa majukumu na wanaume wenzangu

    Ni kweli mkuu, Kuna watu kwa tabia zao hua hawafai kabisa kuoa wala kuolewa, lakini Mungu huwa amewatunuku kitu adimu sana na mautundu wawapo kitandani, hua wanaUspesho wao fulani hivi. Japo sio wote. Ndio maana wakasema mapenzi ni upofu
  16. Kapyepye Mfyambuzi

    Mchepuko anatishia nisipomhudumia nitasaidiwa majukumu na wanaume wenzangu

    Hili hua linatokea katika maisha. Ilishatokea jamaa mmoja alimpenda mwanamke ambae tabia zake ni za kudanga, jamaa anamuelewa sana huyo mwanamke akiwa kwa bedi, lakini alikuja akaoa mwanamke mzuri tu mwenye heshima zake, mcha Mungu, mtu wa dini, lakini jamaa akawa bado anamkimbilia yule mwanamke...
Back
Top Bottom