Ushahukumu kabla hamjampa jamaa nafasi ya kujitetea. Tupical wabongo. Kazi ipo. Basi kaa hivyohivyo endelea kuota. Hamna kipya wala lolote kitakachofuata
Bwana Phil
Nadhani pia kipindi cha BCS internet ilikua kwa watu wachache na waliokua nayo walikua ni wanaojielewa kidogo. Sio kama sasa.
Nani anamkumbula Me against Kikwete?
Ingawa alibadili jina baadaye?
Kama ndo kupokea hela za kampeni kwa kutoa kuja kusaidia baadaye (ambayo hatuna uhakika kama ni kweli) hiyo inaitwa lobbying.
Kwani sasa hivi nikikupa hela utakataa? Tena iwe unashida kama hiyo aliokua nayo jamaa?
Mbona mama Tiba alipewa na akakiri na yupo?
Kwanza wote hatuna uhakika na hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.