Search results

  1. U

    Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  2. U

    Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  3. U

    Uchaguzi 2020 Nimeamua kura yangu asubuhi na mapema Lissu atapata

    Mwanzo Mimi nilikuwa namkubali Magufuli lakini hizi hapa ni sababu ambazo zinanifanya nimpe Rais wangu Lissu kura 1: Mpaka sasa hivi hamna aliyejibu hoja za Lissu kwa ufasaha! 2: Magufuli anachuki ya waziwazi tena inaonekana ni Mtu katili kwa vitisho anavyovitoa kwamba tusipochagua CCM na watu...
  4. U

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Acha siasa! Engineer hawezi kuwa mwalimu? Chuo umefundishwa na nani?? Alafu engeneer level ya diploma kuna technical school nyingi,za kufundisha, vyipo vyuo vya kati mfano Focal development college( FDC) vipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, vinatoa cheti cha ufundi kama wa veta! Unataka...
  5. U

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Kumbuka hao sio waandisi ni matechnician ambao kimsingi hawasomi kwa Mkopo wa serikali!! Hivyo hawadaiwi na loan board!
  6. U

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Sio kila kitu mnapinga, Technician wanaohitajika hapa ni kwa ajili ya kwenda kufundisha vyuo vya Maendeleo ya wananchi FDC bila shaka
  7. U

    Uchaguzi 2020 Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa wakurugezi pamoja na Tume ya uchaguzi

    Diwani wa chadema kakatwa kapelekea vurugu hatimaye Mtu mmoja kufariki na wengine kujeruhiwa vibaya sana
  8. U

    Uchaguzi 2020 Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa wakurugezi pamoja na Tume ya uchaguzi

    Kilichotokea mkoani Songwe na kupelekea umauti wa Mtanzania ni ishara kwamba amani tunaivuruga wenyewe hasa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia haki wanashindwa kutumia hekima wala busara mahali panapohitaji hekima au busara kwa maslahi yao au itikadi ya chama Fulani. Ni mambo ya hovyo...
  9. U

    Masanja acha kulitukanisha jina la Bwana Yesu kwenye majukwaa ya wamataifa

    Habari wakuu! Wokovu sio Bwana asifiwe, Wokovu ni maisha mapya! Ni mabadiliko anayoyapata Mtu baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake( Yohana 1:12) Masanja mkandamizaji ww ni mchungaji kitendo cha ww kwenda kucheza jukwaa moja na wasanii wa bongo fleva na wengine! Bado...
  10. U

    Wakuu naomba ushauri nipo njia panda

    Habari wakuu? Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo kwa upande wa degree in Engineering, sitaki tena Mwenda kusoma degree yoyote ya Engineering...
  11. U

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Masasi CCM msipokuwa makini linaenda Upinzani

    Habari zenu wakuu. Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe lakini pia ni kipenzi cha wananchi! Katika uchunguzi wangu nimengundua hili CCM isipokuwa makini...
  12. U

    Msaada: Kati ya Bachelor Degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and Maintanance Engineering

    Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa bila shaka NIT, ni ipi kozi nzuri na isioumiza kichwa!
  13. U

    Lissu ni mhanga wa kifo anastahili mapokezi ya kitaifa. Tujitokeze kwa wingi

    Tukikumbuka kilichompata Mhe! Tundu lissu 2017, kwa mtanzania yeyote mwenye mwili na anamwabudu Mungu, mwenye huruma na upendo alimponya tundu Lissu ni Mungu tu, hili halina ubishi, mpango wa wabaya wake ulikuwa tundu lissu afe lakini mpango wa Mungu tundu lissu aishi alitumize kusudi! Tunaenda...
  14. U

    Nipeni dili

    Njoo inbox!!
  15. U

    Vijana muogopeni Mungu, la sivyo mtaishia jehanam

    Asilimia kubwa ya idadi ya watu duniani ni size ya kati ya miaka 14-55 ambao wengi ni Vijana! Hiki ni kizazi kilichotabiriwa kizazi cha nyoka ambacho hakitataka kuyasikiliza maneno ya Mungu! Ni kizazi ambacho haya ndo kinachoyafurahia. 1: Kumiliki pesa nyingi ambazo sio za jasho! 2: Kupenda...
  16. U

    Sijawahi kuona kazi za Walimu wa hisabati (TUTORIAL ASSNT) Kwenye vyuo vya kati vya UMMA na VETA

    Veta wametoa juzijuzi tu hapa, na waliofaulu usaili pale utumishi tarehe 30/06/2020! Wameitwa kazini! Vigezo vya kwenda kufundisha Veta ni FTC/ Diploma !!!ya Engineering tu!
  17. U

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

    Habari wakuu! Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa Mungu pia na mchambuzi wa Biblia natoa sababu kwa nini askofu gwajima hatakiwa kuwa kwenye siasa...
  18. U

    Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

    Umefanya Mengi sana mazuri yakutamanisha macho! Ila umesahau kuwa Mungu ndiye kakupa hivyo vyote, hujafanya hata kimoja hapo cha Mungu! Kumbuka furaha ya kweli na Amani ya kweli ipo ndani ya Yesu! Ipo siku utakufa utaacha vyote ulivyosema hapo! Nilitegemea ungetaja na mafanikio pia ya Rohoni...
  19. U

    Kuitwa kwenye interview

    Kwanza nampongeza kwa kuitwa hiyo 20% ya kuitwa kazini! 1: amshukuru Mungu kwanza 2: maswali yapo 4 muda ni dakika 40 atumie vizuri muda. 3: ajiandae vizri bila pressure yoyote wala asiangaike kucover topic cjui vitini vya Chuo 3: wingi wa watu usimtishe hata kama nafasi ni 1 mmeitwa 10000...
Back
Top Bottom