Search results

  1. julaibibi

    USHAURI kwa Makonda na kampuni za utalii namna ya kukuza utalii jijini Arusha

    Jana nimeona kikao baina ya RC Makonda na wafanyabiashara wa hotel na TRA na tours. RC kauliza vitu vingi na kashangaa iweje mzungu atoke Ulaya aje kulala badala ya kutalii. Napenda nitoe ushauri, wakati fulani tulisoma kozi na serikali ya China katika hizo kozi kuna kitu kinaitwa Night...
  2. julaibibi

    NMB App mnatufelisha

    Nimekua ni mteja mzuri wa NMB hasa hii app ila sasa kila ukijaribu kulipa kwa mutandaoo inakuja vizur ila inagoma mwishon hela inakatwa ila inakua haifik. Mfano lipa namba, na hii service yenu ya salary advance mbona hamsem nikibofya pale ndio nakua nimeomba au nataka kujua. Ukienda kwenye App...
  3. julaibibi

    Customer care kwenye kutambulisha bidhaa kutoka Redgold Tomato pale Mliman City ni mbaya

    Wewe kadada uliyekwa na Redgold Tomato ku introduce products yao ya peanut butter hapo Mliman kwenye mlango wa kuingia Shoppers Supermarket sijui niseme umechoka au ndio poor customer care with low skills in promotion. Mteja kaja umeweka tumikate twa kuonja na maelekezo na kikawaida mtu...
  4. julaibibi

    Bado mnakata miti!

    Barabara ya Samora hapo karibu na TTB naona miti inakatwa, with the issuing of world earth globally warm are u still in commie mind to cut down trees? Acheni hizo tafuteni namna kama manyaya yanapita chini au mui-prune
  5. julaibibi

    Makonda anageuka super sub inayotoa matokeo

    So my question is? Kwann watu wanakusanyika anapokuwa Makonda? Maana yake,anachokifanya Makonda wangekuwa wameshafanya ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, manaibu waziri, jero nyingi zingekuwa zimeshasikilizwa! Makonda ni wakwanza kufanya hivyo? Hapana! Si wa kwanza? Kwanini ghafla watumishi...
  6. julaibibi

    Dhulma za ardhi ni nyingi, ziara ya Makonda ni Muarobaini

    Kwa kweli suala la watu kupigwa na maafsa ardhi au kuzungushwa ni suala mtambuka sana. Kazi konk back to back ya katibu muenezi, mjumbe wa sekretarieti cde Makonda inaibua hisia kali sana.wewe kama hukuwai kufanya kesi mabaraza ya ardhi huwez kujua adha yake. Ni usumbufu sana. Sisi tunafurahi...
  7. julaibibi

    Honi kero za Magari mabovu ruti ya Tegeta - Gerezani - Kivukoni

    Naomba NEMC au mamlaka husika watizame haya ma DCM sijui Iecher honi zao haki ya Mungu masikio unaweza sema yanapasuka. Adhabu ya mwisho mwisho wa dunia ikipigwa baragumu kila atayesikia ubongo utapasuka basti sasa haya mahoni nayo yatizamwe.
  8. julaibibi

    Ushauri kwa DAWASA kuhusu mfumo wa majitaka Kariakoo

    Kama inavyofahamika kero ya maji taka hasa hasa kipindi cha mvua maji ya mavi kwa maeneo ya mjini hasa kariakoo imekua kitu cha kawaida. Hiv karibu kumekuwa na matengenenezo kwenye mitaa ya Kariakoo sijui ni nani ila barabara nyingi za mitaa mfano Kipata na Nyamwezi na mitaa mingine lami...
  9. julaibibi

    MV Kigamboni mnatesa na kusumbua abiria kwa kuzidisha idadi ya magari

    Hii wala haihitaji waje viongozi wa ngazi za juu. Mnatesa watu, mnajaza magari inapofikia zamu ya kuingia watu wanaingia kama tundu la sindano, sio sawa. Hili panton ni dogo ilishashauriwa kwa vile ni dogo mstari mmoja usiingie gari. Sasa wao SUMA wanajaza magari mistari yote na watu wanajazana...
  10. julaibibi

    CRDB Mlimani leo foleni haiendi kabisa customer care, teller wapo wawili tu

    Siku kama ya leo jumatatu toka saa 4:00 mpaka muda huu folen haiendi. Namba zinaitwa za customer care, teller wapo wawili tu. Kwanin mnakwamisha juhudi za Abdulmajid Nsekela. Sio vizuri bwana mtu unaingia mchana unatoka usiku.sio sawa. Mpaka.muda huu jion teller hawasogei kabisa. Na wapo...
  11. julaibibi

    Hivi nyie mnaopost fenicha mnatuchukuliaje?

    Kila ukiingia instagram unauliza fenicha flani mfano. Ni hizi kitchen cabinet. Unawapigia wanakwambia meter laki nane na nusu wengine milioni. Yan mdf hizi hizi za board elfu 80. Na hinges za elfu tano tano na boks moja la screw driver.unaniuzia meter moja 800,000 wengine mpaka 1000,000/= bora...
  12. julaibibi

    PBZ badilikeni

    Leo week ya pili najaribu ku access mobile inasema we are experiencing technical problems. Ukitaka kujisajili na mobile lazima uende kwenye tawi, kwenye tawi napo unajaza form ukaambiwa iache wataifanyia kazi, ambako napo inachukua mwaka mzima. Badilikeni.
  13. julaibibi

    Hongera utawala soko la Feri

    Sis kama wadau wa mazingira na usafi kwa kweli tumepita kupata chakula hapo soko la samaki feri, upande huo wa kina mama lishe. Kufika tu tunashangaa maji ya kunawa ya motooo, mhh ajabu? Hatujakaa vizur ugali umekuja moto mboga moto, ndio badae naona tangazo la utawala. Nipende kutoa pongezi...
  14. julaibibi

    DOKEZO Usafiri wa Tegeta - Kivukoni ni changamoto, Latra na Sumatra waingilie kati

    Nafikisha hili muwaokoe wanachi wa Tegeta Kivukoni. Hali ni mbaya. Sheria kama sikosei gari ikishakuwa level seat ianze safari. Abiria wengine nao wa njiani wanapata nafasi. Kinachofanyika hapa nawapa tip hawa wanajaza watu kama matenga ya nyanya, wanajaza wanataka mpaka watu wadondoke...
  15. julaibibi

    Ushauri juu ya kivuko cha Mv Kigamboni

    Tunapongeza kwa hatua ya ukarabati wa vivuko hivi, angalau hili Mv Magogoni baada ya kukarabatiwa angalau shida inakuja kwa hili Mv Kigamboni. Kwanza dogo unakuta wanaruhusu gari zijae mistari yote pamoja na watu. Kinachotokea sasa ni watu kuingia kwa msusururu kama siafu huku mkipenya penya...
  16. julaibibi

    Boti za Azam ni nzuri kwa huduma, wabadilishe na bendera

    Jana nimebahatika kufika visiwani kwa tamasha la idhaa za Kiswahili. Azam ni wazuri kwa huduma hongera sana. Kitu moja sijapenda bendera ya taifa imechakaa sana . Nendeni GPSA zipo zinauzwa. Bendera iheshimiwe hii inawakilisha mahali palipo na giza kama mwenge wetu tunu ya Taifa
  17. julaibibi

    Naomba maelezo kutoka kwa wazalishaji wa maji ya Afya

    Kwa muda mrefu natumia maji ya afya. kwa jamaa wa kitroll lita 1.5 mia tano. Ila nashangaa lebo zao za Afya kama zimepauka tofauti na haya niliyoshika muda huu, au sio kesi sana?
  18. julaibibi

    Feb 29 msione vibaya, mwakani Mungu akipenda

    Leo naanza beti, kuuambia ulimwengu Feb 29 mwezi, mwaka huu mchungu Mwaka huu yamini, hakuna kushangilia. Polen wote mulozaliwa feb 29.mwaka huu hamna birthday yenu.afterall mchele ghali na mafuta,pilau mutakula mwaka wingine.mwaka huu tarehe yenu hakuna
  19. julaibibi

    Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  20. julaibibi

    DTB hamna mtandao, huduma zimesimama

    Kama unahitaji kutuma hela Western union kupitia DTB usisumbuke. Leo siku ya 3 hakuna mtandao. Imagine unafika pale Mliman City unakuta wale wadada wamekaa wanapiga story tu.
Back
Top Bottom