Search results

  1. M

    Aloe Vera

    Monica nakuunga mkono hata mimi natumia na niko huko ila TUWAELIMISHE PIA KUA BIASHARA HIYO INAFAIDA GANI?NA HOW THEY CAN GET MONEY OUT OF IT waelimishe pia kuhusu marketing plan yake.....hasa wale wanaotaka extra income/ unlimited income........www.foreverliving.com
  2. M

    Bishop aua Mchungaji kugombea demu Mwanza!

    dada unachosema ni SAHIHI nakuunga mkono
  3. M

    madaktari wetu wanatupeleka wapi?

    yai ni hatari yanayosemwa kuhusu muhimbili ni kweli na nimeyaona mwenyewe, MOI na wodi za wakinamama kuna roho za vifo manesi na ma dr hawawajali wagonjwa na ni wazembe maana hakuna kifungu cha kuwabana wanapofanya uzembe au KUUA KWA KUKUSUDIA. namalizia Muhimbili sio hospitali ya kwenda .....
  4. M

    Samahani kwa Kikwete na wana JF

    mwafrika wa kike bwana wewe umeeleweka, wasiotaka kuelewa wameze sumu wafe!!!! hata huyojk akiona msg yako naamini atakusamehe.. kwani nani hana makosa kati yetu????wacha wachonge tafadhali songa mbele.
  5. M

    Daktari Bingwa wa wanawake!

    aaa hiyo mbona ndo tabia yao hao madoctor tena nasikia msichana/mwanamke anapotakiwa kufanyiwa operation wakishamdunga ile misindano ya usingizi akishalala hua wanawabaka wanavyotaka na baada ya kumaliza mchezo wao mchafu ndo mambo mengine yanaendelea na mfano hai ninao wa dr moja jina kapuni wa...
  6. M

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    charlo baba kabla ujajiunga chunguza unataka kujiingiza wapi na kwanini??!!!!!!! kuingia raisi lakini hutakuja kujitoa huko ukiwa hai..
  7. M

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Mi nimekupata vizuri na nawajua hawa hata hapa dar wapo..... tena viongozi na vibosile kibao wa tz ni ma free masons na kama mnakumbuka mwaka jana au mwaka juzi walisherekea siku yao na tulionyeshwa hata kwenye tv inayoongoza hapa dar, wanapofanya ibada zao ni pale karibu (nyuma) ya kempiski...
  8. M

    break down

    jamani ilikua siku ya jumamosi nikitokea kigamboni nakakatiza mitaa ya forodhani nikaona duka zuri la sylver nikaamua kupaki gari na kwenda kuangalia maana nilitaka kununua kitu, nilipofika ndani ya duka kabla sijafanya chochote mwenye duka akaniambia dada kaondoe gari yako pale maana watu wa...
  9. M

    Huyu Ndio CID

    kwanza pole pili nakushauri uende pcb na wakupe pesa za moto na uwashikishe hao polisi wasio na haya mbele ya watu wa pcb bila wao kugundua.... wakomeshe uwezavyo na iwe mwanzo na mwisho wao...
  10. M

    Big Brother Africa: What a waste!

    jamani unachosema ni kweli bba ni takataka na inaaribu maadili, kwanza wahajali kipindi kile kinaangaliwa watu wa aina gani na wenye umri gani!!!! mtu huwezi uza utu wako kwa milioni 100???? wakati unaweza fanya kazi kwa bidii na ukapata pesa hizo??? matajiri wangapi wanamabilioni ya pesa na...
  11. M

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    wakuu ni ni hoja nzuri ila tusubiri dr mwenyewe awataje majina anaowajua wanafanya biashara hiyo......
Back
Top Bottom